NicholausII
Member
- Jun 13, 2016
- 7
- 1
Kazoea huyu mjinga! kila thread ukienda utasikia picha sasa picha ya nini hata kama tukio halihusiani na pichaUsirudie tena!!!
we noma unatakA hadi picha ya sauti!Picha tafadhali
Kazoea huyu mjinga! kila thread ukienda utasikia picha sasa picha ya nini hata kama tukio halihusiani na picha
Tangu kusikika kwa ujumbe wa Sauti unaodhaniwa kuwa ni sauti ya kiongozi Wa kanisa la ufufuo na uzima askofu Gwajima kuna sintofahamu imetanda.
Polisi wanamsaka askofu Huyo atoe Maelezo kuhusu sauti hiyo inayodaiwa kuwa ya uchochezi bila mafanikio!
nimeipenda hiyo,,,eti SAUTI ILIYODHANIWA
ha haa haaKumbe unapenda ugomvi basi hatuchangii uzi wako
Post za watu matusi ya nn mkuuPicha kamuombe mamako
Mmmh labda amesafiri kwenda nigeria
Labda kutembea tuKufuata nn huko
itakuwa mchepuko kwa mkewe wewe..nakuona hakutulii kabisa!! unataka usikie kakamatwa sio?
BANGO