Wakati mwingine kukaa ndani ni sehemu ya kushiriki mchakato pia, unachosubiri ni wasimamizi wa vituo wabandike matokeo, viongozi watangazwe, maisha yaendeleeUliopita nilitulia zangu ndani tu
Bahati nzuri matokeo ya uchaguzi hayaangalii idadi ya wapiga kura.Bila kujali nilikuwa upande wa chama tawala au chama cha upinzani, uamuzi wa kutopiga kura nilifanya kwa sababu, kimantiki, mazingira ya uchaguzi yalishatabiri mshindi.
Katika chaguzi za 2020 na 2025, matokeo yalionekana kutabirika kirahisi sana. Hivyo, kwangu, kwenda kupiga kura kulionekana kama kushiriki mchakato ambao tayari niliona mwelekeo wake. Si kwamba sipendi kupiga kura. Niliona tu kwamba kura yangu haikuwa na nafasi ya kubadili mwelekeo wa matokeo.
Kama niko upande wa chama tawala, kura yangu ilikuwa kama kuongeza tone moja kwenye bahari, isingeweza kubadili matokeo yanayobandikwa yenye ushindi mpana sawa na bahari. Na kama niko upande wa upinzani, kura yangu ingekuwa na thamani gani ikiwa mazingira yenyewe yalishatabiri mshindi?
Huo ndio ulikuwa mtazamo wangu. Sio suala la chama nilichokuwa nacho, bali ni imani yangu kwamba kura yangu, katika mazingira hayo, isingekuwa na uwezo wa kubadili matokeo.
Gentleman,Bila kujali nilikuwa upande wa chama tawala au chama cha upinzani, uamuzi wa kutopiga kura nilifanya kwa sababu, kimantiki, mazingira ya uchaguzi yalishatabiri mshindi.
Katika chaguzi za 2020 na 2025, matokeo yalionekana kutabirika kirahisi sana. Hivyo, kwangu, kwenda kupiga kura kulionekana kama kushiriki mchakato ambao tayari niliona mwelekeo wake. Si kwamba sipendi kupiga kura. Niliona tu kwamba kura yangu haikuwa na nafasi ya kubadili mwelekeo wa matokeo.
Kama niko upande wa chama tawala, kura yangu ilikuwa kama kuongeza tone moja kwenye bahari, isingeweza kubadili matokeo yanayobandikwa yenye ushindi mpana sawa na bahari. Na kama niko upande wa upinzani, kura yangu ingekuwa na thamani gani ikiwa mazingira yenyewe yalishatabiri mshindi?
Huo ndio ulikuwa mtazamo wangu. Sio suala la chama nilichokuwa nacho, bali ni imani yangu kwamba kura yangu, katika mazingira hayo, isingekuwa na uwezo wa kubadili matokeo.
wanatekeleza haki zaoWalimu ndio wanatupigiaga kura 🤣🤣🤣🤣
Haki ni nini?wanatekeleza haki zao
Bila kujali nilikuwa upande wa chama tawala au chama cha upinzani, uamuzi wa kutopiga kura nilifanya kwa sababu, kimantiki, mazingira ya uchaguzi yalishatabiri mshindi.