maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Nawasihi sana wote mlioitwa majibu bila kujali nani alikushauri ufanye hivyo na hatimaye kuitwa majipu tutoke hadharani tupaze sauti kuiokoa nchi yetu na kumsaidia rais wetu ili ajue shida ni nini.
Binafsi naimani kuna mtu mkubwa nyuma ya aliyeitwa jipu, mfano halisi ni huyu aliyemtumia SMS mtendaji wa Wakala wa vipimo.
Jiulizeni kuwa aliyewashauri kufanya nje ya maadili wanaitwa waadilifu
Mmetolewa kafara sasa ni wakati wa kusema ukweli watajeni hata kama uliambiwa na rais au waziri.
Magufuli tafuta viini vya majipu na watakaokupa taarifa sahihi ni hao unaowaita majipu