Ni wakati wa kusema uliyoyafanya sirini!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Kuna jambo uliwahi fanya ktk maisha , kazini, shuleni popote na unajua hakuna mtu aliyetambua kwa kipindi hicho andika ukweli sasa.;naanza nilipo kuwa sec nlikuwa na mwonekano wa utulivu sana ila ni nilikuwa mwizi sana kwenye mizinga ya watu na waliokuwa watajwa walikuwa wengine na kulipishwa niliiba nguo ,viatu, saa, jeans mashati, (uonekano wa upya) ya wanafunzi wenzangu na kuuza vijijini ,nikispot unapoweka key zako nachukua then ntafungua mzinga wako if i found money i took some of it na nakuachia kidogo nimeiba vingi nliweza kulist mahitaji yangu na kuyakamilisha kwastyle kuiba vitu na kuuza eneo la mbali sana na skuli kiasi watu wa kule walijua mimi mchuuzi wa bidhaa ,nliifanya wizi huo pekee yangu na kwa unyeti mkubwa sana.nlipomaliza o level nliacha kabisa, Sasa nimebadilika sana wapendwa na ni mtu mwema tu.haya tajeni mliyofanya sirini?
 
Back
Top Bottom