Ni Wakati Muhimu kwa CCM Kujitathimini katika Mkutano Mkuu wa Tarehe 12 March 2017

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
CCM itafanya kikao cha mkutano mkuu wa chama tarehe 12 March 2017 na mkutano utakuwa ni wa muhimu sana kwa chama hicho Kujitathimini kama kina nia ya kuendelea kushika madaraka.
 
Heading inasema 2012.. Omba Msaada kwa Moderator arekebishe Mkuu
 
Huko ccm kwa sasa hakuna mwenye kuweza kuhoji hayo uliyosema. Kila mmoja ameingiwa na uoga wa ajabu. Hapo walipo wanajipongeza wameunyazisha upinzani. Mambo ya uchumi wanasema yako vizuri kasoro kwa wapiga deal.
 
Umenikumbusha sakata la kura ya maruhani kwa mgombea wa 2012, ikaamuliwa kura zipigwe kimikoa
 
Back
Top Bottom