Ni vitu gani Magufuli anatakiwa afanye ili wapinzani wamuheshimu?

sindano butu

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
503
157
Kitu kimoja magufuli anatakiwa afanye ili aheshimiwe ni awaweke ndani Maraisi wote waliopita. Haiwezekani waziri afanye ufisadi halafu ikulu isijue.mikataba yote ya madini nchini itungwe halafu raisi asijue. Maraisi waliopita wameitia nchi hasara kwa kuhusika na uzembe halafu wapo wanatesa mtaani.NI UPUMBAVU MTUPU KUJIFANYA UNANYOOSHA NCHI WAKATI HUJANYOOSHA NCHI VIZURI.washughulikie wote uone kama Tundu lisu ataropoka.
Kingine chapili abadirishe katiba,raisi asipewe kinga naapunguziwe madaraka.Hii dhana itaondoa utikili wa vyeo na nguvu za raisi nakupunguza udikteta. Kwenye katiba watu wapewe uhuru wakuongea wanachojisikia na ilindwe na mahakama.VIPI WEWE MAONI YAKO!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aheshimu katiba ya nchi na sheria zote za nchi. Asilidharau Bunge na aache kutumia pesa za walipa kodi bila idhini ya Bunge. Aache sheria ifuate mkondo wake kama kwenye issue ya Bashite badala ya kuleta Ukolomije. Aache kuingilia mambo asiyoyajua kama uchumi. Awape nafasi washauri wake wamshauri. Aachane na chuki za kutisha na vitisho visivyokuwa na kichwa wala miguu. Aache kutumia watu kumpigia debe eti anastahili kutawala milele. Aruhusu rasimu ya Warioba ipitishwe na kuwa katiba ya nchi na pia aruhusu kuwepo kwa TUME huru ya uchaguzi. Aache kuwaogopa mafisadi wote nchini hata wale ambao waliwahi kushika nafasi za juu sana Tanzania. Wote hawa waachwe mkono wa sheria ufuate mkondo wake na wahukumiwe vile wanavyostahili. Akifanya haya BAK nitasimama na kumpa standing ovation ambayo atastahili.

CC: MACCM yoyote nchini
 
Akifanya hayo wanayotaka wapinzani, upinzani utabaki nchini? Nafikiri itabidi neno upinzani libadilike.

Unaona wapinzani hawahawa wanapinga yale yanayofanywa sasa hivi waliyoyasema wangeyafanya wao endapo wangekamata dola?

Lengo isiwe kufurahisha upinzani, atende kwa kadri ya katiba, kutii utawala bora kukubali kushauriwa na kukosolewa pale inapolazimu ila staha itumike. Hawezi kuwaridhisha wapinzani.
 
Aheshimu wapinzani awaone km washika dau wa maendeleo sio maadui km sasa. Anaelezwa mambo mengi ambayo sio ya kweli.wanamtia hasira kwa faida yao. Ni km baba anaeletewa majungu na mmoja wa watoto ili apendwe yy tuu.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini huwa hamfahamu kuandika bila kutumia maneno mabaya?

Mh. JPM anapiga kazi vizuri tu kwa sababu kabla mlilalamikia waliopita weeeeee... Sasa hivi kaja anafanya mengi hatukutarajia kwa anayofanya mnalalamika...

Binadamu wa kitanzania wanaisoma namba kazi kweli kweli.. Hata angefanya hayo mngekosoa tu. Bado ana Miaka mingi... mazuri mengi ataendelea kufanya.. tumuombee uzima na afya nzuri.

Mnachotakiwa upinzani ni kujifunza kuwa upinzani mkavutia watu.. tatizo lenu mnazidi kuporomoka hamna jipyaaaaaa

Kura zenu hata haziitaji kuendelea kuwepo Ikulu... ni chache mnooooo na zitapungua kumkimbilia yeye...

Magufuli oyeeeeeee
 
Kitu kimoja magufuli anatakiwa afanye ili aheshimiwe ni awaweke ndani Maraisi wote waliopita. Haiwezekani waziri afanye ufisadi halafu ikulu isijue.mikataba yote ya madini nchini itungwe halafu raisi asijue. Maraisi waliopita wameitia nchi hasara kwa kuhusika na uzembe halafu wapo wanatesa mtaani.NI UPUMBAVU MTUPU KUJIFANYA UNANYOOSHA NCHI WAKATI HUJANYOOSHA NCHI VIZURI.washughulikie wote uone kama Tundu lisu ataropoka.
Kingine chapili abadirishe katiba,raisi asipewe kinga naapunguziwe madaraka.Hii dhana itaondoa utikili wa vyeo na nguvu za raisi nakupunguza udikteta. Kwenye katiba watu wapewe uhuru wakuongea wanachojisikia na ilindwe na mahakama.VIPI WEWE MAONI YAKO!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatakiwe apate watu wenye akili timamu a said is badala ka kujizungusha na mabashite cwatupu
 
Kitu kimoja magufuli anatakiwa afanye ili aheshimiwe ni awaweke ndani Maraisi wote waliopita. Haiwezekani waziri afanye ufisadi halafu ikulu isijue.mikataba yote ya madini nchini itungwe halafu raisi asijue. Maraisi waliopita wameitia nchi hasara kwa kuhusika na uzembe halafu wapo wanatesa mtaani.NI UPUMBAVU MTUPU KUJIFANYA UNANYOOSHA NCHI WAKATI HUJANYOOSHA NCHI VIZURI.washughulikie wote uone kama Tundu lisu ataropoka.
Kingine chapili abadirishe katiba,raisi asipewe kinga naapunguziwe madaraka.Hii dhana itaondoa utikili wa vyeo na nguvu za raisi nakupunguza udikteta. Kwenye katiba watu wapewe uhuru wakuongea wanachojisikia na ilindwe na mahakama.VIPI WEWE MAONI YAKO!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
WEKA Ndani Mawaziri wakuu wastaafu kama LOWASA, SUMAYI, waziri wa Mambo ya ndani mstaafu Masha, Mwanachama wa CCM Mstaafu Kingunge kwa UTUMBO na KUJIMILIKISHA BIASHARA MBALI MBALI Kwa Kutumia Madaraka waliyokuwa nayo. PIA SWEKA NDANI DUDE kama MMILIKI WA MBOYE KWA KUJIMILIKISHA JENGO LA MSAJILI KWA KUSHIRIKIANA NA NYWELE NYEUPE KINYUME NA MUUNGOZO WA RAISI MWINYI...
 
Nakuunga mkono wa kweli mkuu ila ukitandika watoto kwamba wamekula sukari kumbe mkeo ndio kawakorogea wainywe utakuwa unawaonea watoto. Jiulize kwa nini mama kawakorogea wanywe?? Huenda ni ili apate uhuru wa kujifanyia mambo yake bila bughudha.
Wajua kuwa miongoni mwa waliotajwa kule escro wamo waliokuwa wanapanga humo Jumba jeupe?? Utamfungaje PM wakati juu yake alikuwepo aliye muamuru kutenda?? Fikiri kabla hujashauri kwani JPM aweza kuutumia ushauri wako akatoboa tundu lisilo zibika hadi hao waliopumzika makwao wakajikuta lock up. Segerea na Keko. Wapo waliofungua biashara kubwa kubwa wakiwa bado wapangaji wa jumba jeupe. Hao unawasemaje?? Ushauri wangu, alibomoe hilo lichama aanzishe kingine
 
Haya yangekuwa kweli Warioba Mwinyi na Kinana wasingemkoromea.

Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu

Kwanini huwa hamfahamu kuandika bila kutumia maneno mabaya?

Mh. JPM anapiga kazi vizuri tu kwa sababu kabla mlilalamikia waliopita weeeeee... Sasa hivi kaja anafanya mengi hatukutarajia kwa anayofanya mnalalamika...

Binadamu wa kitanzania wanaisoma namba kazi kweli kweli.. Hata angefanya hayo mngekosoa tu. Bado ana Miaka mingi... mazuri mengi ataendelea kufanya.. tumuombee uzima na afya nzuri.

Mnachotakiwa upinzani ni kujifunza kuwa upinzani mkavutia watu.. tatizo lenu mnazidi kuporomoka hamna jipyaaaaaa

Kura zenu hata haziitaji kuendelea kuwepo Ikulu... ni chache mnooooo na zitapungua kumkimbilia yeye...

Magufuli oyeeeeeee
 
Afanye kazi tu kuwatumikia wananchi.
Asinyanyase watu wenye mawazo tofauti.Afate katiba.Alete katiba mpya.
Ni ayo tu.
 
Kitu kimoja magufuli anatakiwa afanye ili aheshimiwe ni ...
kuwaamuru
1) Wapinzani wapige miswaki midomo yao kwanza kabla ya kuongea, wanachafua hali ya hewa.

2) Wapinzani wasimamie walichoaminisha kwa WaTZ kabla ya utawala wake, km kuwaondoa waliowananga ni mafisadi papa.
 
Back
Top Bottom