Ni utani tu!

Ni utani tu!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Pastor mmoja alikuwa akihubiri kanisani akisema"Fanyeni mema,ili mkaingie uzima wa milele,huko paradiso kuna mito ya maji,asali na kila starehe".Mara sauti ya mlevi akikatiza nje ikasikika akisema,"wape wape hao,wabongo bila kuwadanganya hawatoi sadaka,mi huko paradiso sitaki maana kama kuna asali basi kuna nyuki wa kumwaga". >Kulikuwa na harambee ya kujenga msikiti mpya mkubwa katika msikiti mmoja jijini dar.Shekhe alikuwa akisoma bahasha za michango kutoka kwa watu mbali mbali kama ifuatavyo;"alhaj juma said katoa sh.10000,allah akabar!>>alhaj abubakar mohamed katoa 25000,allah akbar!>>alhaj sadick omary ametoa sh.80000,allah akbar!>>kabla ya kusoma bahasha iliyofuata,shekhe akasita kidogo kisha akasema"Alhaj Reginald Mengi ametoa milioni 40,PRAISE THE LOOORD!,Waumini wa kiislamu wakajibu HALLELUYAAA!".
 
ah haaaa haaaaa...................duuuuh,ikawa praise the lord tena
 
We mkale kwa kubalance ze story. Umepiga ndege wawili kwa mara moja..!
 
sio balanced tu bali ni well balanced. Thanx mkuu
 
Back
Top Bottom