Ameegemea kweny bei za mitungi. Oryx ipo juu mno kulinganisha na mingne. Asa na mimi nahitaj mtungi ila bei ya January ndo nafelia apoGesi ni ile ile LPG kwahio kama kuna utofauti ni wizi tu Mitungi ni Container na kilichomo ni kile kile...., unless hakijajazwa to capacity
Kwahio muulize vizuri alete upembuzi yakinifu wa Kwanini na sio kutoa maelezo ya jumla jumla
Kwenye ujazaji ndio watu wanapopigwaGesi ni ile ile LPG kwahio kama kuna utofauti ni wizi tu Mitungi ni Container na kilichomo ni kile kile...., unless hakijajazwa to capacity
Kwahio muulize vizuri alete upembuzi yakinifu wa Kwanini na sio kutoa maelezo ya jumla jumla
Gesi ni ileile mkuu na iyo bei juu ya orx ni kwa sababu ya umaarufu wake tuAmeegemea kweny bei za mitungi. Oryx ipo juu mno kulinganisha na mingne. Asa na mimi nahitaj mtungi ila bei ya January ndo nafelia apo
30kg kwa 70,000? Labda kama unamaanisha 15kg kwa 70k mana last time nanunua Oryx 15kg ilikua 57KKuna gas mpya ya Puma kwa mtungi wa 30kg wanauza 70,000 pamoja na gas kazi kwako
30kg kwa 70,000? Labda kama unamaanisha 15kg kwa 70k mana last time nanunua Oryx 15kg ilikua 57K
Sijabisha. Ila kila 30 + mtungi kwa 70k. Kilo 30? Eniwei sawa.Sasa unabisha nini?? Puma gas ni kampuni mpya wanatafuta soko hawawezi uza bei za Oryx au mihani kwa mara ya kwanza utanunua full 70k baada ya hapo bei za kujaza ni 55,000.
Hivi hizi kg ni baada ya kujaza gesi au uzito wa mtungi maana sielewiSijabisha. Ila kila 30 + mtungi kwa 70k. Kilo 30? Eniwei sawa.
Otherwise unamaanisha mtungi wa kilo 15? Mana gesi mitungi standard hata kwa puma ni 6kg, 15kg na 38kg. Nadhani uliposema mtungi wa kilo 30 ndio haikua sawa
Kg tunazoongelea ni ujazo wa gesi 6, 15, 38 ni gesi.Hivi hizi kg ni baada ya kujaza gesi au uzito wa mtungi maana sielewi
kama ni ule wa 'kiunoni' gesi pekee(net) ni 15kg, mtungi empty(tare) ni 15kg, jumla 30kgHivi hizi kg ni baada ya kujaza gesi au uzito wa mtungi maana sielewi