Ni upi msimamo wa Lowassa juu ya kadhia ya Sukari inayoendelea?

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,863
Tumesikia maoni ya kambi ya upinzani wakisema Magufuli amesababisha crisis hii tokana na ushauri mbaya aliyoupata toka kwa Mkapa ambaye ni mmiliki wa mashamba ya miwa na viwanda vya sukari. Kwa maoni hayo watanzani wamepata mwanga kwamba ni nini chanzo cha uhaba huu.

Lakini mara nyingi busara za mzee Lowassa zimesaidia. Aliposema ataondoa umasikini wa nchi hii na kwamba anachukia umasikini, huyu mwingine akadaka sera na sasa anasema atahakikisha walioishi kama malaika nao waonje maisha ya shetani! Hajatwambia wale 'mashetani' wazoefu wataishi vipi.

Aliposema atatatua tatizo kwa vijana kwa msemo wake maarufu 'bomu linalosubiri kulipuka', huyu akaidaka na kusema vijana waacheza kucheza pool waende wakalime hewani maana ardhi imeuzwa kwa wawekezaji.

Sasa watanza tunamsubiri Lowassa aje suluhu ya tatizo la sukari. Najua huyu bwana mkubwa anavyotupeleka anaweza kusema upotevu wa sukari umesaidia kubana matumizi maana wananchi walikuwa wanatumia fedha nyingi kununua masukari!

Ndiyo! walipozuia bunge kuonyeshwa live si walisema wananchi walikuwa wanapoteza muda kuangalia bunge! Na kama haitoshi mbunge mmoja anayetoka mkoa mmoja na rais alisema wananchi walikuwa wanapoteza fedha kununua petroli kuweka kwenye generator kuangalia bunge!

Tunakusubiri baba yetu Lowassa.
 
Inaelekea wakati wao kuhama toka Serengeti National park kwenda Masai Mara nchini Kenya umefika. Sasa wanasubiri ishara ya mkubwa kuvuta mto hata kama wengi wataliwa na mamba kama inavyotokea miaka yote.
 
Baba yake nani?
 
Unamaanisha mafisiem?
 
Naanza kuconnect dots kua sukari zinafichwa kwa maelekezo maalum toka ukawa.
 
Yaani mzee lowassa sijutii kukupa kura yangu mzee wangu kura yangu ilikuwa sahihi kwako. Miezi sita masukari adimu, mwaka mmoja ukiisha tutatembea safari kwa miguu maana magari yatazuiwa kuingia nchini ili kusudi viwanda vyetu vya humu yaani magereji nayo yatengeneze magari
 
Back
Top Bottom