Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 389
- 272
NIUKWELI USIO PINGIKA.
Naanza kuyakumbuka Maneno ya mwanazuoni
na mwanasiasa Prof. KITILA MKUMBO. Baada
ya Uchaguzi mkuu mwaka jana uliopelekea Dr.
John Pombe Magufuli kuchaguliwa kuwa Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Prof. Kitila Mkumbo akihojiwa na
kituo kimoja cha Television nchini alisema
"WAPINZANI WAKIFANYA MAZOEA YA
KUTUMIA MADHAIFU YA CCM KUJIIMARISHA,
AWAMU YA TANO WANAWEZA KUWA NA
WAKATI MGUMU"
Kwa muda mrefu sana makundi takribani yote
ya watanzania wakiwemo Wanasiasa, vijana,
Wazee, Walemavu, Wafanyakazi, Wanyonge
(wale wa kipato cha chini) na mengine mengi
waliimba nyimbo mbalimbali za aina ya rais
wanayemtaka kuwa ni:
1. Rais ambaye atadhibiti rushwa
2. Rais ambaye atawajali watu wa kipato cha
chini
3. Rais atakayesimamia nidhamu ya kazi katika
taasisi za Umma
4. Rais ambaye hataruhusu matumizi yasiyo ya
lazima serikalini.
5. Rais ambaye Hatakuwa na safari za mara
kwa mara nje ya nchi kwa sababu zinakuwa za
gharama kubwa.
Watanzania tukaenda mbali sana tukasema
ikibidi tunahitaji RAIS DIKTETA ili kuyasimamia
hayo mambo niliyaainisha hapo juu. Walioongoza
DUA hizi kwa mwenyeji Mungu walikuwa ni
Wanasiasa na hasa wa vyama vya Upinzania
hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA).
Baada ya Rais Dr. John Pombe Magufuli kuanza
kazi yake na hasa alipoamua kutekeleza kwa
vitendo ahadi yake aliyoiahidi Bungeni ya
KUTUMBUA MAJIPU, Kauli nyingi sana
zimesewa na Wapinzani ndani na nje ya Bunge.
Kauli ambazo zinapingana kabisa na DUA zetu
(WAPINZANI WAMEKUWA VIGEUGEU).
Baadhi ya kauli hizo ni pamoja na ile ya:
1. Wafanyabiashara waliofadhili CHADEMA
katika uchaguzi mkuu wananyanyaswa katika
suala zima la kuwashuggulikia wakwepa kodi.
2. Rais Magufuli aende nje asikae tu ofisini ,
aende akutane na rais POTINI wa Urusi.
3. Wafanyakazi wanafukuzwa hovyo na
hawapewi nafasi ya kujitetea.
4. Serikali ya Magufuli haifuati utawala wa
sheria(Rais ni Dikteta).
KUMBUKUMBU: Ni wapinzani hao hao
waliosema Magufuli anatekeleza Ilani ya UKAWA
pale alipoanza kuonesha kwa vitendo kuwa ana
nia ya dhati ya kujibu DUA za muda mrefu za
Watanzania hasa wale wa kipato cha chini.
Kauli hizi za ukigeugeu wa wanasiasa na hasa
wapinzani ni wazi MANENO YA PROF. KITILA
MKUMBO yanatimia. Wamekosa hoja ma
watapata wakati mgumu.
RAIS ASHIKILIE HAPO HAPO, TUTAMHUKUMU
SISI WATANZANIA WANYONGE NA SIYO
WANASIASA VIGEUGEU
SASA WAPINZANI WAMEKUWA KIKWAZO KWA NDOTO ZA WATANZANIA WA HALI YA CHINI KWA MANUFAA YAO YA KISIASA.
TUWE MAKINI NA HAWA WANASIASA WASIO NA MAPENZI MEMA KWA NCHI YETU.