Nilianza kwa kusikia maumivu ya viungo mithili ya uchovu. Yakafuatia maumivu makali kwenye paji la uso kwa muda hata siku nne. Muda wote ni homa na jasho jingi tu.
Vipimo vya hospitali havionyeshi malaria, UTI wala chochote. Nilianza mimi, kafuatia mke wangu na sasa binti yangu.
We hujui tu kama ni Corona hiyo mkuu aisee nenda kapime haraka kuyanusuru maisha yako ukifika wambie nina dalili za corona immediately ukifanya mchezo utasepa.
Poleni, endeleeni na vipimo vingine, msijufungie ndani mpende pata hewa safi ya nje kwa muda mrefu, mazoezi madogo madogo, endeleeni gonga msosi mzto kama kawa afya zenu zitaimarika.