barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Ndio maama Manutd haitachukua kombe.Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Hapa kweli walitoa na matairi kabisa.
Katika maisha lazima uwe na kila mbinu za kukabiliana na aduiMan u wnajifariji mpira magoli ila kiukweli mpira hawajui, trh 10 watapaki basi si la sayar hii
Nashangaa kuna watu wamekupa like kwa hiki ulichoandika, nyie aseno mmesababisha ushindi wa liver wa goli tano hauzungumziwi pumbavu nyie
hata tukiweka treni hakuna tatizo. na siku hiyo hakuna kupaki basi wala nini na matokeo yatakuwa DRAWMan u wnajifariji mpira magoli ila kiukweli mpira hawajui, trh 10 watapaki basi si la sayar hii
Man u wnajifariji mpira magoli ila kiukweli mpira hawajui, trh 10 watapaki basi si la sayar hii
Tulipo wapiga nane tulienjoy sana tu...... A Match is all about strategies, yes nakubali Mourinho anaiharibu man utd na kuifanya sio timu ya kutisha tena when it comes to winning.Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Itakuwa wamekuchania mkeka. Pole.Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Endeleeni kucheza vizuri mtashinda taji la peke enu.
Ya mkosaji haya ndio tushawanyuka yenu mkagawane sijui mkalale nayo
Endeleeni kucheza vizuri mtashinda taji la peke enu.
Ya mkosaji haya ndio tushawanyuka yenu mkagawane sijui mkalale nayo
Mashabiki wa Mama esta utd hapo wa nafurahia tu sababu wameshinda ila wangefungwa ndio ungeona povu lao sasa
Kwao morinyo akipak basi na wa kashinda ni kocha mzuri, akipak basi akafungwa wanasema mbaya na matusi yote atapewa
We shida yako nini kwa team yako ?? Yaani unataka nini ??Man Utd mpira mzuri tuliuacha bada ya kustaafu Sir Alex. Hivi sasa tunatafuta ushindi tu, mchezo mzuri utarejea baada ya kuachana na Jose..
Defence is part of the game and it's an art as well.....Man u wnajifariji mpira magoli ila kiukweli mpira hawajui, trh 10 watapaki basi si la sayar hii
We shida yako nini kwa team yako ?? Yaani unataka nini ??
siku zote man u hawanaga mpira mzuri kama wa arsenal. Sisi wengine wala hatukushangaaHope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Mwisho wa siku.. ni chenga au magoli ndio vitampa mtu ushindi?Man U pamoja na usajili wa pesa nyiiingi bado ni timu ya hovyo hovyo inayofunga magoli ya kulazimisha sana na kubahatisha.
Haiwezekani mchezewe kama watoto.
Ni Aibu kubwa kwakweli.