Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Mh!
Nusura nicheke...
Hebu nikuulize swali moja bibie,...
- Mumeo anakuwa mpole tu ukishamuambia umechoka?
Ni lazima umpe haki ya ndoa mumeo, vinginevyo unataka atafute nyumba ndogo
Hiyo kazi umeanza baada ya kuolewa au kabla? We ulipokubali kuolewa ulidhani ndoa ni matarumbeta? Kwamba utaolewa halafu uje kulala? Kwa taarifa yako mumeo anakuangalia tu huku akifikiria kati ya meri wa ofisini na jane wa pale supamaketi nani mrahisi!
Kila siku nirudipo kazini,huwa na uchovu,siku zingine mwingi au kiasi,na niingiapo kitandani hutaka tu nilale basi,sasa nahisi namuhuzunisha mume wangu jamani nisaidieni ananielewa henda stress za kazi na uchovu lakini sasa naogopa jaman asije akachoka kunivumilia,vp wengine nyie mnakabilianaje na changamoto hii?
Nikupe siri ya kutokuchoka ni wahi kuamka ruka kamba, work out cardials japo 30 minitues tu the oga fresh! Utapunguza uzembe 50% na utakuwa husinzii sinzii! Plus utakuwa very light na mvuto utaongezeka, achilia mbali kuonekana younger by several years.
Pia unaweza omba Mr. akufanyie massage kidogo na nini! Ila workout ndo best option.
hiyo kazi umeanza baada ya kuolewa au kabla? We ulipokubali kuolewa ulidhani ndoa ni matarumbeta? Kwamba utaolewa halafu uje kulala? Kwa taarifa yako mumeo anakuangalia tu huku akifikiria kati ya meri wa ofisini na jane wa pale supamaketi nani mrahisi!
Obvious utakua mwili umekuelemea,yani wewe ni kibonge!fanya mazoezi au kama vipi mapenzi hayana formula msikariri,jaribuni kutofanya mapenzi kwa mazoea kwamba eti lazima iwe muda wa kulala,mnaweza fanya asubuhi before hamjaanza maandalizi ya job,kila mtu ataenjoy!
Ok..Ndio ndugu yangu,most tym anajitahidi kunielewa na ananiambia nisiporidhia itakuwa ananifoc na hatopenda iwe hvyo,ni mpole