Ni simu yangu au Twitter ipo Down?

cmases

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
1,765
Reaction score
1,440
Habarini bandugu! Hivi ni kwenye simu yangu tuu au ni ukweli kwamba kwamba Tweeter ipo chini?

Kama ipo chini naamini kwa asilimia 100 kuwa kuna uhusiano na kile kinachoripotiwa na Martin kutoka Ubungo Mawasiliano kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake.
 
Mkuu mbona namfatilia martin hapa iko vizuri
 
Update your OS au Android yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…