Ni shida anataka kupandishwa cheo

kekundu! kekundu! kekundu!huyo akienda ofsini kesho anakuta barua ya kuachishwa kazi na hapo ndo patakuwa kilio na kusaga meno.KWISHA HABARI YAKE.Akirudi kwa mganga atamwambia ulikiuka masharti.
 
Binadamu tuna shida sana,,, usione watu wamevaa suti wanaingia maofisin lakn wanayoyafanya yanatisha,,, unaweza kuzimia kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…