Ni sheeedah!!!

Peculiar

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
821
Reaction score
689
Musa alitaka kupima uaminifu wa rafiki yake walioshibana toka utotoni. Akatunga safari. Akamwambia amepata safari ya kwenda ng'ambo, itakayochukua miaka 10 mpaka kurudi.

Akaamua kumfunga mkewe sehemu za siri kwa kufuli la chuma na kumuachia ufunguo huyo rafiki yake aitwaye Elliah, na akamwambia, 'Kama miaka 10 itapita utamfungua mke wangu na kuwa huru naye...'

Musa akaanza safari. Kabla hajafika airport, mara nyuma anaona vumbi kali, kugeuka nyuma kumbe ni rafiki yake Elliah.

Musa akamuuliza, 'kulikoni???' Elliah akajibu, 'MBONA UFUNGUO SIO WENYEWE?'
 
hahahahahahahahahahaha, Tena afadhali alipafunga...sipati pcha kama angelitoa maagizo ya kulindwa mke pasipokufungwa pale..
 
Ama kweli hili jukwaa kunahaja ya kutembelea ukiwa na stress
 
hahahahahahahahahahaha, Tena afadhali alipafunga...sipati pcha kama angelitoa maagizo ya kulindwa mke pasipokufungwa pale..

Angekuta manyaya😂😂😂
 
Machozi yananitoka kwa kucheka. Siri gani imewekwa hapo jamani mbona panatutoa ubinadamu hivyo hahaaaaaaaaa
 
yalaeeeee duh! nimecheka mpaka nimepigwa kofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…