naona wanaoowa wake zaidi ya mmoja huwa hawakumbani na stress za wanaume wanaoishi na mwanamke mmoja na kujitahidi kutochepukaNdio na hapana yote yanaweza kuwa majibu sahihi, hata hivyo ni vyema ukaishi unaonavyo kwako sawa mkuu
ndio utaishi maisha marefu, kwa uzoefu wangu idea ya mke mmoja ni kama imefail kwenye dunia hii,na nchi za utandawazi kama ulaya na marekani ndio kabisa walishaachana nayo wakaadapt ya mkatabaMwanaume inatakiwa aoe wake watatu na kuendelea
naona wanaoowa wake zaidi ya mmoja huwa hawakumbani na stress za wanaume wanaoishi na mwanamke mmoja na kujitahidi kutochepuka
wenye mmoja ni kuwa huwa wanachanganyikiwa hawajui waanzie wapi ila mwenye zaidi ya mmoja mara nyingi hawamsumbui hata wakiondoka huwa kawaida tu
ukiwa nao wengi hata akikutibua hautashikwa na bumbuwazi kama vile yule mtu mwenye mke mmoja tu na jamii inajua hivyo mtu huyo gafla anaweza kujikuta akidowea makahaba kwenye vilabu vya pombe.yaani hana state of mind.hajajipa muda wa kuchagua mwenza anajikuta kwenye mazingira ya kuhitaji mwenza kwa haraka ili kuendelea na maisha ya kkawaidaWanawake wote hawako hivyo kama ulivyoelezea hapo juu , kutokana na maelezo yako jibu ni hapana.
Jiulize ukiwa na wake wengi ndio utakua umetibu hilo tatizo ?
ukiwa nao wengi hata akikutibua hautashikwa na bumbuwazi kama vile yule mtu mwenye mke mmoja tu na jamii inajua hivyo mtu huyo gafla anaweza kujikuta akidowea makahaba kwenye vilabu vya pombe.yaani hana state of mind.hajajipa muda wa kuchagua mwenza anajikuta kwenye mazingira ya kuhitaji mwenza kwa haraka ili kuendelea na maisha ya kkawaida
kutokana na mwanamke kuishi kwa emotion(msisimko) ,leo hali nzuri mnapendana anakubana na kukulinda hata usiwe na mchepuko,hali ya uchumi ikiyumba anakimbilia kwingine au kuanza kuwa bize kivyake na kuanza kuchepuka kwa jeuri kuwa huna namna.
kuna maana yeyote mwanaume kuwa na mke mmoja?
Ndio gonjwa la baadhi ya wanaume . Hawapendi kuangalia mbali.Hahaha, hivi mtu akikosana na mpenzi wake cha kwanza kukimbilia ni kutafuta mtu mwingine ?
kwa nini ufikiri akikutibua mmoja , na je wakikutibua wote ?
Watu wanaoongoza kwa mawazo ni hao wenye wake au familia zaidi ya moja.
Ni kweli , ila maneno ya kwenye mitandao zisikutishe.Ndio gonjwa la baadhi ya wanaume . Hawapendi kuangalia mbali.
Kabisa. Ndio mana wakasema "akili za mwenzio changanya na zako"Ni kweli , ila maneno ya kwenye mitandao zisikutishe.
wanasema huwezi mrekebisha mwenza. utafiti mdogo unaonyesha kila utakapojaribu kumteat vizuri ndivyo atakavyokuumiza zaidi.Ni kweli , ila maneno ya kwenye mitandao zisikutishe.
wanasema mwanamke ni mfupa wa mbavu kamwe haunyoosheki,sana utauvunja au wewe kuumia bure.Kabisa. Ndio mana wakasema "akili za mwenzio changanya na zako"
Hakuna maana. Ila ukiwa na mmoja sio mbayakutokana na mwanamke kuishi kwa emotion(msisimko) ,leo hali nzuri mnapendana anakubana na kukulinda hata usiwe na mchepuko,hali ya uchumi ikiyumba anakimbilia kwingine au kuanza kuwa bize kivyake na kuanza kuchepuka kwa jeuri kuwa huna namna.
kuna maana yeyote mwanaume kuwa na mke mmoja?
Shauru yako we baki hapo hapo na misemo yako ya vijiweni.wanasema mwanamke ni mfupa wa mbavu kamwe haunyoosheki,sana utauvunja au wewe kuumia bure.