SIR_KIMANYO Member Sep 24, 2010 36 1 May 30, 2011 #1 Ninafarijika sana kila mara ninapoutembelea ukurasa huu na kusoma yale yanayochangwa kutoka kwa wanafalsafa wanaofikiria kwa kina na wanao ona mbali. nimeungana nanyi kutoa hoja na kuchangia
Ninafarijika sana kila mara ninapoutembelea ukurasa huu na kusoma yale yanayochangwa kutoka kwa wanafalsafa wanaofikiria kwa kina na wanao ona mbali. nimeungana nanyi kutoa hoja na kuchangia
Yericko Nyerere JF-Expert Member Dec 22, 2010 16,987 20,271 May 30, 2011 #5 Karibu hapa ndipo zilipo hisia za waungwana!!!
S Sharo hiphop JF-Expert Member May 17, 2011 660 100 May 31, 2011 #6 Karibu, nikuletee nini? Maji, soda, juice, bia, wine au?
Mwenzetu JF-Expert Member Dec 16, 2010 550 193 Jun 2, 2011 #7 SIR_KIMANYO said: Ninafarijika sana kila mara ninapoutembelea ukurasa huu na kusoma yale yanayochangwa kutoka kwa wanafalsafa wanaofikiria kwa kina na wanao ona mbali. nimeungana nanyi kutoa hoja na kuchangia Click to expand... saa anda skoo kimanyo......................karibu sana,tena sana
SIR_KIMANYO said: Ninafarijika sana kila mara ninapoutembelea ukurasa huu na kusoma yale yanayochangwa kutoka kwa wanafalsafa wanaofikiria kwa kina na wanao ona mbali. nimeungana nanyi kutoa hoja na kuchangia Click to expand... saa anda skoo kimanyo......................karibu sana,tena sana