Ni sahihi kwa mwanajeshi wa JWTZ kuvuta bangi hadharani na raia?

umenikumbusha kipindi kuruta, kopro alikua msela wangu sababu tulikua tunakula wote ganja, ila kwenye tizi ananikazia
Kwenye Mazoezi wako vizuri sana.

Raha sana kufanya Mazoezi na WANAJESHI.

Mimi mwenyewe kuna Mwanajeshi mmoja alitokea kunikubali sana ikafikia mpaka kunichukua nikawa naenda kufanya Mazoezi KAMBINI kwao.

Na hapo bila shaka alikua akikusihi usifanye Mapenzi.

Mimi kila ninapokuwa Mazoezini Ushauri wake, tafadhali Usifanye Mapenzi.

Kuna Siku moja nilikiuka kimya kimya, basi huwezi amini Siku ya Pili nilipoenda Mazoezini alinistukia.

Muda wa Mazoezi ulipoanza, akaanza kuniambia "Wewe jana utakuwa Ulitomba"

Mimi nikawa nakana, hapana Sijatomba.

Akaendelea kuniambia "Wewe umetomba"

Ikabidi nikubali nikamuambia ukweli huku nacheka.

Akaniambia "unaona", "Mimi nilijua tu".

Nashangaa sijui alijuaje!
 
Kwenu enyi wajuzi wa mambo.

Naomba kujuzwa je ni sahihi kwa wanajeshi kuvuta bangi hadharani wakishirikiana na raia?

tangu pazuke kinachoitwa vita dhidi ya ugaidi hasa maeneo ya pwani humu nchini juhudi mbalimbali zimeanzishwa kukabiriana na mambo haya.moja wapo ni kuanzishwa kwa kanda maalumu huko pwani. vita hii ambayo kimkakati inalenga kuwatia adabu wote wenye kuleta fyoko dhidi ya serikali pendwa inawajumuisha wanajeshi wa JWTZ hawa wapo wengi sana huko pwani.

sote tunajua kazi za jeshi ni MIPAKA YA NCHI YETU ndio maana linaitwa jeshi la wananchi.

sasa mambo yamebadilika .
wanajeshi wanalinda raia dhidi ya watawala kwa kufanya hivyo wanafanya kazi ambazo sio zao kwakweli. miongoni mwa kazi wanazofanya ni pamoja na
1) kulinda hifadhi ya bahari yani mwajeshi anazuiaje uvuvi haramu kwa mfano.

2) kuzuia wanaoingia na wanaotoka maeneo hayo. mwanajeshi anamuuliza raia kitambulisho chake tena wakiwa bar usiku ? wengine wanatoa silaha hadharani , wengine wanapigana na raia na kujiita makomandoo basi ni visa na vituko vyao tu.

3) wanahariri mauzui ya mazungumzo ya watu hata kwenye vijiwe vya kahawa.
kubwa kuliko yote wanashirikiana na vijana wa maeneo hayo kuvuta BANGI Tena mchana kweupe hadharani kana kwamba wao wapo juu ya sheria?

Nawauliza wajuzi wa mambo ya jeshi je ni halali kwa mwanajeshi kuvuta BANGI Hadharani?

VITU VINGI SANA SI SAHIHI NA VINAFANYIKA NA WATU WA MAMLAKA, KAMA VIPI NIORODHESHE?
 
Kwenye Mazoezi wako vizuri sana.

Raha sana kufanya Mazoezi na WANAJESHI.

Mimi mwenyewe kuna Mwanajeshi mmoja alitokea kunikubali sana ikafikia mpaka kunichukua nikawa naenda kufanya Mazoezi KAMBINI kwao.

Na hapo bila shaka alikua akikusihi usifanye Mapenzi.

Mimi kila ninapokuwa Mazoezini Ushauri wake, tafadhali Usifanye Mapenzi.

Kuna Siku moja nilikiuka kimya kimya, basi huwezi amini Siku ya Pili nilipoenda Mazoezini alinistukia.

Muda wa Mazoezi ulipoanza, akaanza kuniambia "Wewe jana utakuwa Ulitomba"

Mimi nikawa nakana, hapana Sijatomba.

Akaendelea kuniambia "Wewe umetomba"

Ikabidi nikubali nikamuambia ukweli huku nacheka.

Akaniambia "unaona", "Mimi nilijua tu".

Nashangaa sijui alijuaje!
Hahahaha nguvu za magoti zinapungua ukitomba
 
Back
Top Bottom