Ni sahihi kufanya maendeleo ya Kiuchumi na mpenzi wako?

"
Basi kwa taarifa yako, nyie wanaume ndiyo wabinafsi wakuu, kwa kumuacha mdada wa watu anakupa huduma zote, mapenzi, anakufulia, anakupikia, anakuoshea, anakununulia mazawadi, mamikopo juu na mwisho wa siku mnaoa mtu mwengine kabisa, nyie ni wabinafsi wakuu."


Nikimpata mwanamke kama huyo 👆👆simwachi naoa moja kwa moja,mimi mpaka sasa hivi sijui hela ya mwanamke inafananaje,hata akiwa nayo siipangii bajeti kabisa.

Na wanawake kama hao ,wenye mioyo ya kutoa hela wako wachache sana,kwenye mia hawazidi kumi,nyie wanawake wabahili sana ndio asili yenu ubahili.
 
Mie natoa mbona
 
Huo ni upumbavu ni sawa ukapige kelele mahakamani hakimu akuangalie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…