Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,219
- 54,533
Solution ni basicof programming. Hilo ni la kawaida.Sasa unamshauri nini haswa, maana yeye ni binadamu na sio mashini, lazima aanze kwa lugha moja kabla ya kutapatapa....
Na pia sio lazima ujue lugha tano ndio uwe competitive, kimsingi ili uwe competitive lazima ujue kutoa solutions zinazofanya kazi na kutatua matatizo kwenye jamii, haijalishi kama unajua lugha ishirini au tatu.
Vijana wengi hujaza majina ya lugha wanazozijua kwenye wasifu, lakini ukimhoji system ipi kakamilisha sehemu na inatumika na inasaidia kutatua matatizo, unakuta hana chochote cha maana cha kuonyesha.
So, muhimu kwa vijana kujifunza kutengeneza solutions, hapa namaanisha whole lifecycle ya software development, kuanzia kwenye feasibility, planning, kuja kwenye analysis, execution, tests, UAT mpaka project closure. Hii itamsaidia zaidi, sio kuhangaika kujaza lugha nyingi ambazo hata baadhi hatawahi kuzitumia.
Wakati naanza programming, nilijitesa kwa kukimbizana na lugha, nilizoma zaidi ya ishirini lakini mwisho najikuta hata nimesahau jinsi ya kufanya hello world kwenye asilimia kubwa ya hizo lugha. Yaani nimesahau kila kitu.
Solution ni basicof programming. Hilo ni la kawaida.
Lugha nyingi inakusaidia kuwa adaptive kwenye project mbali mbali kwa kutumia lugha tofauti.
Knowing si project zote utafanya kwa language moja.
Sio ushauri mzuri kumwambia mtu aanze kujifunza programming kwa kutapatapa kwenye lugha nyingi, anapaswa ajifunze moja na kujisindika kabisa, hiyo moja imfundishe principles muhimu za software development, kisha baada ya hapo ndio aanze kutafuna lugha zingine huko nje. Ni kama ilivyo kwenye lugha tunazoongea, lazima uifahamu lugha moja kwanza, hususan lugha ya mama, halafu hiyo moja itakupa muongozo wa kimaisha.
Sasa baadaye ndio uanze kujifunza lugha zingine za kukuwezesha kuongea na watu wasio wa lugha yako.
Kwenye programming uhitaji wa kujua lugha zingine mara nyingi hutokana na mahitaji unayokumbana nayo, mimi hapa kuna lugha nilijifunza kweye mradi ambao mteja alisisitiza ufanywe kwenye hiyo lugha, ila nilipokamilisha huo mradi, miaka imepita zaidi ya mitano sijapata mradi mwingine unaohusu kutumia hiyo lugha, na nimeishau wala hata sikumbuki chochote kuihusu, hata siwezi kuandika sentensi moja ndani yake ilhali niliwahi kukamilisha mradi tena mkubwa kwa kuitumia.
Ulimwengu wa programming ni mpana sana, ukiingia kichwa kichwa bila mkakati wowote utaangukia pua na kuchukia sana na kupoteza muda wako bure. Hapa nina uzoefu wa kama miaka kumi hivi kwenye programming lakini bado huwa najiona mchanga, bado najifunza na kutafiti kila siku, najihisi kama tone baharini...
Ni kweli kabisa kwamba unaweza kutumia nguvu nyingi na mda mwingi kujifunza language nyingi with no any focus."ukiingia kichwa kichwa bila mkakati wowote utaangukia pua na kuchukia sana na kupoteza muda wako bure"
Unai underestimate JavaScript mkuu.Basi sawa, javascript kwenye web programming maana yake ni unadeal na client side sio server side
Kijana naona unapambana na c++ sana.
Ni vizur.. lakin kqa experience yangu c++peke yake haitoshi.
And ulichoandika ni simple codes tu.
In real world ni more than that.
Atlest jifunze lugha 5 za programming ili uweze kuwa competitive kwenye ajira.
Hii inakuwaje hii.Ndio nimeanza kujifunza chifu,hata hao wanaotengeneza application kubwa walianza kujifunza kwa level ya chini.kuna watu wamemaliza BSc in Comp Science hata kuandika mistari ya code kama hiyo hawawezi.Hapa nimesoma kidogo tu lakini nimetengeza kitu useful nikichimba zaidi nitafika mbali chief
Js all the way bra!JavaScript the love of my life.
Naomba unisaidie majina ya hawa wabongo wawili. I need mentor on this sort of things brah!Binafsi kwa sasa nazidi kujichimbia kwenye utaalam wa PHP, japo nina uzoefu wa miaka mingi kwenye kuitumia, ila nataka kufanya mtihani rasmi wa Zend Certified Engineer (ZCE), ni aina ya mtihani wa PHP ambao hauwezi ukafaulu bila uzoefu wa muda mrefu wa PHP. Wataalam wenye hiki cheti ni wchache sana
Kenya wako saba
Tanzania wawili tu
Uganda watatu
Rwanda mmoja
Sudan Kusini na Burundi hawana habari
Afrika Kusini wapo 117
Nigeria wako 39
Mk254 = ('uko vizuri sana')
Print(mk254)
Naomba unisaidie majina ya hawa wabongo wawili. I need mentor on this sort of things brah!
It can't run!Notepad pia ni very powerful, waweza tengeneza virus kwa kutumia .batch files
Unapiga man alone au chuo?
Sure, but if and only if you don't have enough skills(techno how)It can't run!
Ndo mnavyodanganyana hivyo kuwa kuna graduates wa CS hawawezi kuandika simple code kama hiyo!Ndio nimeanza kujifunza chifu,hata hao wanaotengeneza application kubwa walianza kujifunza kwa level ya chini.kuna watu wamemaliza BSc in Comp Science hata kuandika mistari ya code kama hiyo hawawezi.Hapa nimesoma kidogo tu lakini nimetengeza kitu useful nikichimba zaidi nitafika mbali chief
Nilijua hapo kwenye Tz lazima uweke 'tu'Binafsi kwa sasa nazidi kujichimbia kwenye utaalam wa PHP, japo nina uzoefu wa miaka mingi kwenye kuitumia, ila nataka kufanya mtihani rasmi wa Zend Certified Engineer (ZCE), ni aina ya mtihani wa PHP ambao hauwezi ukafaulu bila uzoefu wa muda mrefu wa PHP. Wataalam wenye hiki cheti ni wchache sana
Kenya wako saba
Tanzania wawili tu
Uganda watatu
Rwanda mmoja
Sudan Kusini na Burundi hawana habari
Afrika Kusini wapo 117
Nigeria wako 39
Nilijua hapo kwenye Tz lazima uweke 'tu'
Anyway Hongera
Sir huwezi tengeneza na ika-run nimefanya mara kadhaaSure, but if and only if you don't have enough skills(techno how)
Watakuwepo tu.Wengine hawajafanya mtihani bado,wengine wanakimbiza mwz kimyakimya 🤣 🤣.Hehehe!! Wacha kujishtukia, huku huwa hatupigi siasa, au ushindani wowote, ila huoni hapo kasoro kuwa karibia na idadi sawa na Rwanda ambao ni saizi ya kamkoa ilhali mpo milioni sitini.