Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Unaweza tumia kutengenezea websites, japo utatumia nguvu naona nyingi sanahivi hii CSS HTML NOTEPAD huwa inamahusiano na hizi fani ?
Mi nimeikuta nimeichukua na kuiweka katika computer kisha nasubiri kuona kazi yake
Siku hizi kuna templates ziko tayari, waweza tumia WYSISYG, joomla na zingine nyingi tu. Sema binafsi sipendi kutumia templates ndiyo mana sizifatilii sana na mimi natengeneza sana web Application zaidi. Jifunze kwa bootstrap itakuweka sehemu nzuri sana. Mimi natumia Aspx +C# na kwa database SQL.Njia gani ambayo inaweza kuwa rahisi kwa mtu kutengeneza website ?
Notepad pia ni very powerful, waweza tengeneza virus kwa kutumia .batch fileshivi hii CSS HTML NOTEPAD huwa inamahusiano na hizi fani ?
Mi nimeikuta nimeichukua na kuiweka katika computer kisha nasubiri kuona kazi yake
Notepad ni compiler ya HTML na CSS.hivi hii CSS HTML NOTEPAD huwa inamahusiano na hizi fani?
Mi nimeikuta nimeichukua na kuiweka katika computer kisha nasubiri kuona kazi yake
Kirus kqa batchfile unatengeneza simple virus. Ambae antivirus za kawaida zinamuona. Ww mwenyewe unaweza kisaka kwa cmd na ukakimaliza.Notepad pia ni very powerful, waweza tengeneza virus kwa kutumia .batch files
hivi hii CSS HTML NOTEPAD huwa inamahusiano na hizi fani ?
Mi nimeikuta nimeichukua na kuiweka katika computer kisha nasubiri kuona kazi yake
Siku hizi kuna templates ziko tayari, waweza tumia WYSISYG, joomla na zingine nyingi tu. Sema binafsi sipendi kutumia templates ndiyo mana sizifatilii sana na mimi natengeneza sana web Application zaidi. Jifunze kwa bootstrap itakuweka sehemu nzuri sana. Mimi natumia Aspx +C# na kwa database SQL.
Ndio nimeanza kujifunza chifu,hata hao wanaotengeneza application kubwa walianza kujifunza kwa level ya chini.kuna watu wamemaliza BSc in Comp Science hata kuandika mistari ya code kama hiyo hawawezi.Hapa nimesoma kidogo tu lakini nimetengeza kitu useful nikichimba zaidi nitafika mbali chiefKijana naona unapambana na c++ sana.
Ni vizur.. lakin kqa experience yangu c++peke yake haitoshi.
And ulichoandika ni simple codes tu.
In real world ni more than that.
Atlest jifunze lugha 5 za programming ili uweze kuwa competitive kwenye ajira.
Good. Lakin unaongea na developer mzoefu.kwa muda mrefu nimekuwa kwenye hiyo field. Nimefanyasha tengeneza softwares ..na systems kibao. Take it from me in the future..programmer atakuwa required kujua language zaid ya moja.Ndio nimeanza kujifunza chifu,hata hao wanaotengeneza application kubwa walianza kujifunza kwa level ya chini.kuna watu wamemaliza BSc in Comp Science hata kuandika mistari ya code kama hiyo hawawezi.Hapa nimesoma kidogo tu lakini nimetengeza kitu useful nikichimba zaidi nitafika mbali chief
Asante sana,taratibu nitapata kufahamu jamboCascading Style Sheet ni kwenye web ndio mahala pake kwa ajili ya muenekano wa webpage mfano humu jf.CSS ni interpreted language maana yake ni kwamba web browser ndio inatafsiri CSS na kuzifanyia kazi ila programming language inakuwa analyzed na compiler kisha inabadilishwa kwenda kwenye assembly language kisha assembler inabadilisha assembly language kuwa machine language,computer haielewi lugha yoyote isipokuwa machine language
Hii tofauti yake na programming language ni nini katika utendaji kazi ?Notepad ni compiler ya HTML na CSS.
Lakin HTML na CSS ni scripting languages. Sio programming languages.
Hii nayo hufanyika vipi na naweza kutumia notepad hiyo hiyo kutengeneza antvirus ?Notepad pia ni very powerful, waweza tengeneza virus kwa kutumia .batch files
Asante sana.Siku hizi kuna templates ziko tayari, waweza tumia WYSISYG, joomla na zingine nyingi tu. Sema binafsi sipendi kutumia templates ndiyo mana sizifatilii sana na mimi natengeneza sana web Application zaidi. Jifunze kwa bootstrap itakuweka sehemu nzuri sana. Mimi natumia Aspx +C# na kwa database SQL.
Tofauti yake ni kwamba hizo zina require browser ku run.Hii tofauti yake na programming language ni nini katika utendaji kazi ?