[emoji23]Tafuta pesa dogo, acha sifa za kijinga.
He! HahahahhahahaTafuta pesa dogo, acha sifa za kijinga.
Kwamba wewe hauwezi kupata UKIMWI..?Hongera zako, ila usije ukawa una nyota ya Ukimwi
Bora hata ww umemwambia....barehe inawasumbua sana vjana hata demu akimwambia mambo utasikia ..ananitakaTafuta pesa dogo, acha sifa za kijinga.
Mngemsikiliza kwa makini alichosema, mngemuelewa na pengine mngemsaidia! Ameomba na ushauri pia! Msaidieni, hapo bado hamjamsaidia!Bora hata ww umemwambia....barehe inawasumbua sana vjana hata demu akimwambia mambo utasikia ..ananitaka
WHO STAGE 4 with OPP's dah mamaeeeeeee uwiii.... Uchungu mkubwa boss Bora nyeto ukiwa na sabuni ya moamediUmenikumbusha mpangaji wangu mmoja alikuwa na nyota hyo basi ni full kuwabeba full kuwala fll kusifiwa,dah mpaka vijana wenzie wanaonekana makhanith.. Ni swala la muda.
Asee ngwengwe sio,hapa nnapokuambia tushazika miaka nane iliyopita huko mbaya zaidi katutia hasara wanafamilia,degree aliyokuwa anaisotea ikaota mbawa,istoshe ndo alikuwa semester ya tano.
INAUMA SANA