M mumema Member Joined Jan 19, 2014 Posts 12 Reaction score 0 Jan 22, 2014 #1 Twisen noma!mtoto wa kike anaomba ruhusa kwenda kwa mwalimu wake kusoma maths,yaani topic ni kutoa na kuongeza!mwanafunzi anatoa 5000 na baada ya siku tumbo limejazwa mimba na mwalimu!hii ni haki?
Twisen noma!mtoto wa kike anaomba ruhusa kwenda kwa mwalimu wake kusoma maths,yaani topic ni kutoa na kuongeza!mwanafunzi anatoa 5000 na baada ya siku tumbo limejazwa mimba na mwalimu!hii ni haki?
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jan 22, 2014 #2 post yako ya kwanza halafu imebuma vilevile pole
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,741 Jan 22, 2014 #3 haijabuma mwekundu . Jitahdi kumuelewa japo maandishi ya kichina Last edited by a moderator: Jan 4, 2016