Samahani wana jf toka mmheshimiwa akamate nnchi yetu, sijaona au kushuhudia kiwanda kikijengwa swali langu je, ni nnchi ya viwanda kwelii?
Badala yake nyumba kuvunjwa, uhaba wa ajira kubadili uongozi kila kuitwapo Leo na kulaumu viongozi waliopita tuuu