little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 998
Hebu taja aina ya simuJe kuna kifaa au namna ambayo naweza boost hii internet?
Simu huawei, ndo simu naitumia mwaka wa 3 sasa. Mita 200 kutoka hapa network inashika vizuri kabisa.Hebu taja aina ya simu
Umenunua dukani ikiwa mpya au kwa mtu (used)?
Je uwapo mitaa mingine unapata mtandao?
Basi hama ilo eneoSimu huawei, ndo simu naitumia mwaka wa 3 sasa. Mita 200 kutoka hapa network inashika vizuri kabisa.
Hakuna solution nyingine?Basi hama ilo eneo
Umejaribu kuswitch 3G pia? Sometime 4G inaweza kuwa slow na 3G ikakimbiza.
signal strength ni kubwa ila signal quality ni ndogo, tumia bustaJe kuna kifaa au namna ambayo naweza boost hii internet?
Nimejaribu mkuu, 3G ndo haitembei kabisa.Umejaribu kuswitch 3G pia? Sometime 4G inaweza kuwa slow na 3G ikakimbiza.
Nimekicheki hiki kifaa, bei yake imesimama. Price + shipping inafika 200k
Bongo hakuna kwa kweliBongo havipo hivi?
Kweli mkuu, nimejaribu kukaa dirishani kidogo minara imepandasignal nyingi zinazuiwa na kuta or milima,ukiwa bondeni jaribu kuweka meza yako unayotumia karibu na dirisha huku Mara nyingi signal zinapita vzr tu.
Nenda Kwa fundi akutengeneze ni waya wa mtandao utakuwa umelegea mm iliwai ntokea ivo nikatengeza ikaka sawaKweli mkuu, nimejaribu kukaa dirishani kidogo minara imepanda
Nikiwa sehemu nyingine mtandao unasoma vizuri tuNenda Kwa fundi akutengeneze ni waya wa mtandao utakuwa umelegea mm iliwai ntokea ivo nikatengeza ikaka sawa