Ni nini hiki?

Nakushauri siku nyingine usiandike tena ulichokiandika.Hayo maswali yako ulipaswa kumtafuta rafiki yako au mtu .mzima unayemuamini angekusaidia vizuri sana.Leo sijabugia balimi,ungenichukia.
 
Nakushauri siku nyingine usiandike tena ulichokiandika.Hayo maswali yako ulipaswa kumtafuta rafiki yako au mtu .mzima unayemuamini angekusaidia vizuri sana.Leo sijabugia balimi,ungenichukia.
Sawa mkuu lkn kama nimevunja taratibu tafazal elekeza il na wengine wajue... Maana ni ww tu peke ako ndo umetoa io kauli... Sasa cjajua wengine ama nao wapo kam mm... Tafazal elekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana. Dah mzee naona ulikuwa unaloweka tu. Sasa mwagia dushe spirit faster kabla virusi havijazama ndani. Within few seconds huwa vinashangaa shangaa nje ya mashine kabla havijaona hamna ishu ya maana na kuzama ndani.
Hahaha!!..."Eti huwa vinashangaa shangaa nje kabla havijaona ishu ya maana nakuzama ndani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiandae kula deile kimoko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu lkn kama nimevunja taratibu tafazal elekeza il na wengine wajue... Maana ni ww tu peke ako ndo umetoa io kauli... Sasa cjajua wengine ama nao wapo kam mm... Tafazal elekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Vema.Unapomuanika mwenzio namna hiyo humtendei haki wala huoneshi heshima kwa Dada na mama zake humu JF.Pili,Unanipa wasiwasi kama umepita shule na kujifunza mambo fulanifulani(reproduction) ambavyo hukupaswa kuuliza.Tatu,umeonesha weye ni mnyanyasaji mchanga(kwa umri wako wa 22 years)kwa kumfukuza huyo binti.Naamini atakuwa mdogo kuliko weye.Nne,badilisha aina yako ya uandishi.Acha kukatisha maneno na uyaandike kama yanavyotakiwa kuwa.Menhineyo madogomadogo tutaendelea kuambiana tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…