Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Karibuni
huku kujiachia unamaanisha hata wanaume mnapolea kitambi si unapunguza mvuto? au wanawake tu, kuna mdada mmoja yeye anajinyima kula asinenepe kisa mumewe kamuonya dada wa watu mpaka kapata ulcers , ila mumewe tambi hiloo, ila sbb ya usaliti ni tamaa tu hakuna cha mvuto wala nn hapoZipo Sababu zaidi ya miilioni moja sema inategemea ntu na ntu...
1.Kuchokana
2.Dharau/Kejeli kwa upande m1
3.Kubadirika kwa mazoea ya mwanzo
4.Kujiachia vya kutosha na kupoteza mvuto
5.Maradhi
6.Uzazi
7....................................
huku kujiachia unamaanisha hata wanaume mnapolea kitambi si unapunguza mvuto? au wanawake tu, kuna mdada mmoja yeye anajinyima kula asinenepe kisa mumewe kamuonya dada wa watu mpaka kapata ulcers , ila mumewe tambi hiloo, ila sbb ya usaliti ni tamaa tu hakuna cha mvuto wala nn hapo
Fafanua na 6
Nilisoma mahala ndani ya JF hii kuwa uasliti wa mwanaume unatoka mdomoni lkn wa mwanamke unatoka moyoni. repair ya usaliti wa mdomoni ni rahisi lakini wa moyoni ni vigumu sana.
umesahau ya kukurupuka kuingia kwenye ndoa,unaingia kwa msukumo wa ngono na hayo ndo madhara yake
yani nakubaliana na wewe 100 kwa 100 kuna bidada mmoja aliolewa na jamaa baada ya kuonja tundi jamaa katangaza ndoa ila si wote mko hivi mwingine anamgonga demu afu anachapa lapamsingi wa ndoa yoyote hata kama ni ya mbuzi ni ngono, hii haina mjadala.