Kama nimelielewa vizuri swali lako kinachonikera kwa akina dada ni kuvaa nusu uchi, na kwa upande wa akina kaka ni wale wote wanaosuka, kuvaa hereni na cheni kama akina dada bora wangevaa na magauni pia maana wanatakaka kushindana na urembo wa akina dada maana siamini kama hawavai shanga.