Ni Nini Hasa Kimemsukuma Raisi Kikwete?

Ni Nini Hasa Kimemsukuma Raisi Kikwete?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,353
Reaction score
15,074
Hivi ni nini hasa kimemsukuma Raisi Jakaya kikwete kutaka kuandika Katiba nyingine?
Kwa nijuavyo mimi nchi nyingi huandika Katiba Mpya, pindi pale linapotokea tatizo ktk nchi husika, kwa mfano Vita, au Mapinduzi n.k.
Sasa ningependa kujua hapa kwetu ni nini hasa kimemsukuma Raisi kikwete kuamua kutumia gharama kubwa namna hiyo kutengeneza Katiba nyingine ilihali nyingine tayari Ipo?
 
ni uzalendo wake kwa nchi umemsukuma, kikwete ni rais msikivu kwa wananchi wake , huwezi mfananisha na mhafidhina wa chadema
 
Wewe unaiita chadema wafihidhina unajua vuguvugu ya kutaka katiba mpya ilianzishwa na chadema au una comment tu .Yaan kwa ulivyo comment unaonesha huna hoja kama hao CCM WAKO
 
hakuna kitu mashinikizo ya waislam na wananchi..alidhani ataweza chomekea mahakama ya kadhi.. sasa hivi mnaambiwa kuwa hata kiapo kinahitaji mtu kuwa na udhu, sijui awe na tohara.This is too much.
 
Kama wewe si muislam huwezi kuyajua haya. Kila mtu ana uhuru wake wa imani. Ni kweli sisi waislamu tunashika Quran tukiwa tohara tu. Hasa wanawake....hivyo mwanamke anapokuwa hedhi hawi tohara. Hapo hatoweza kushika Quran. ..ndio maana wakatoa ufafanuzi.
Usimdharau binadamu mwingine kwakua wewe unaamini vingine.
 
hakuna kitu mashinikizo ya waislam na wananchi..alidhani ataweza chomekea mahakama ya kadhi.. sasa hivi mnaambiwa kuwa hata kiapo kinahitaji mtu kuwa na udhu, sijui awe na tohara.This is too much.

sawa mkashifu uislamu, hivi mohamed mtoi haoni kamanda nicholas anavyokashifu waislamu?
 
Yafaa nini kupigania taifa lisilo na mflalme!
 
hakuna kitu mashinikizo ya waislam na wananchi..alidhani ataweza chomekea mahakama ya kadhi.. sasa hivi mnaambiwa kuwa hata kiapo kinahitaji mtu kuwa na udhu, sijui awe na tohara.This is too much.

Wewe jamaa kenge kweli!!!
 
Wewe jamaa kenge kweli!!!
angalau umalizie hivyo nimewapa kweli yenu wehu nyie.Bidhaa ya thamani ya chini sana ya mwarabu.Kwa muarabu nyie wote ni vinyeo tuu..anaweza kuwanunua kwa kila kitu..kwa tende, kwa kitabu, kwa chakula cha siku moja, kwa visa, kwa kuwatukana matusi etc..kafanye tafiti mnavyitukanwa matusi ktk ajira ndivyo mnazidi wapenda.
 
sawa mkashifu uislamu, hivi mohamed mtoi haoni kamanda nicholas anavyokashifu waislamu?
haha...akili yako haina tofauti na kinyeo....hembu hesabu uharo ulioipaka dini yako halafu ,ungaliae kilio na kusingizia wengine unaelekeza wapi
 
Kama wewe si muislam huwezi kuyajua haya. Kila mtu ana uhuru wake wa imani. Ni kweli sisi waislamu tunashika Quran tukiwa tohara tu. Hasa wanawake....hivyo mwanamke anapokuwa hedhi hawi tohara. Hapo hatoweza kushika Quran. ..ndio maana wakatoa ufafanuzi. Usimdharau binadamu mwingine kwakua wewe unaamini vingine.
Sasa nani afanye kazi hizo?Mbona hiyo dini inakuwa ngumu sana..? Sasa nani atakwenda mcheki mama mjane km wa kiislam ambaye kapata uongozi na anatakiwa kiapo akiwa anga za mbali?Hayo ni mambao binafsi bana..na mtu anahitaji jipima. Kwa huo msahafu umeanza lini hiyo mambo wakati mohamad akifa Quran haikuwa imeandikwa ilikuwa vichwani na ni wazo la akin Abu bakr na Umar kuandika na kuweka standard huku akichoma version nyingine?HIvo Quran ni copy zilizotengenezwa n mashine zisizo n hata na udhu...karatasi na mengine yalipitia process yakihusisha wafanya kazi wenye hayo mambo na mengine mengi tuu..km kulambana ktk magogo,ktk viwanda vya karatari ,rangi etc... Ujinga utawaponza mengi hadi dunia yenu iwe miserable....sasa mbona zinachankaa na kutupwa ardhini?kwenye mavi na haramu nyingine?Mnaabudu kitabu au mnaheshimu maandiko yaliyopo ndani na yanayoweza patikana kwingine?Sasa mtaanza washika kwa utakatifu waliokariri(hifadhi mistari kichwani)... Pengine muanze kula yamini kwa vichwa vya wale watoto na wengine walizozikariri huku nao wakiwa ktk hedhi,na wakiwa hawana udhu. Bon voyage ktk impossible world yenu..
 
cdm ndo wametuingiza kwenye huu mkende wa hovyo kabisa, pesa hizi zingeweza kujenga maabara za shule nchi nzima, ndo maana hawa jamaa wako kimya, wametumia bil 8 kununua viti vya youtong jamaa wako kimya, sasa watatengeneza fimbo ya dhahabu ya kilo nne ushee wala hawaguni.
 
Sasa nani afanye kazi hizo?Mbona hiyo dini inakuwa ngumu sana..? Sasa nani atakwenda mcheki mama mjane km wa kiislam ambaye kapata uongozi na anatakiwa kiapo akiwa anga za mbali?Hayo ni mambao binafsi bana..na mtu anahitaji jipima. Kwa huo msahafu umeanza lini hiyo mambo wakati mohamad akifa Quran haikuwa imeandikwa ilikuwa vichwani na ni wazo la akin Abu bakr na Umar kuandika na kuweka standard huku akichoma version nyingine?HIvo Quran ni copy zilizotengenezwa n mashine zisizo n hata na udhu...karatasi na mengine yalipitia process yakihusisha wafanya kazi wenye hayo mambo na mengine mengi tuu..km kulambana ktk magogo,ktk viwanda vya karatari ,rangi etc... Ujinga utawaponza mengi hadi dunia yenu iwe miserable....sasa mbona zinachankaa na kutupwa ardhini?kwenye mavi na haramu nyingine?Mnaabudu kitabu au mnaheshimu maandiko yaliyopo ndani na yanayoweza patikana kwingine?Sasa mtaanza washika kwa utakatifu waliokariri(hifadhi mistari kichwani)... Pengine muanze kula yamini kwa vichwa vya wale watoto na wengine walizozikariri huku nao wakiwa ktk hedhi,na wakiwa hawana udhu. Bon voyage ktk impossible world yenu..

Sawa kaka. Upate ujira mwema kwa haya uyafanyayo.
Sitobishana na wewe kwakua una imani tofauti........ila heshimu na imani za wengine.
Lanatullah:thumbup:
 
Sasa nani afanye kazi hizo?Mbona hiyo dini inakuwa ngumu sana..? Sasa nani atakwenda mcheki mama mjane km wa kiislam ambaye kapata uongozi na anatakiwa kiapo akiwa anga za mbali?Hayo ni mambao binafsi bana..na mtu anahitaji jipima. Kwa huo msahafu umeanza lini hiyo mambo wakati mohamad akifa Quran haikuwa imeandikwa ilikuwa vichwani na ni wazo la akin Abu bakr na Umar kuandika na kuweka standard huku akichoma version nyingine?HIvo Quran ni copy zilizotengenezwa n mashine zisizo n hata na udhu...karatasi na mengine yalipitia process yakihusisha wafanya kazi wenye hayo mambo na mengine mengi tuu..km kulambana ktk magogo,ktk viwanda vya karatari ,rangi etc... Ujinga utawaponza mengi hadi dunia yenu iwe miserable....sasa mbona zinachankaa na kutupwa ardhini?kwenye mavi na haramu nyingine?Mnaabudu kitabu au mnaheshimu maandiko yaliyopo ndani na yanayoweza patikana kwingine?Sasa mtaanza washika kwa utakatifu waliokariri(hifadhi mistari kichwani)... Pengine muanze kula yamini kwa vichwa vya wale watoto na wengine walizozikariri huku nao wakiwa ktk hedhi,na wakiwa hawana udhu. Bon voyage ktk impossible world yenu..

cc mohamedi mtoi na saidi mohamedi
 
sawa mkashifu uislamu, hivi mohamed mtoi haoni kamanda nicholas anavyokashifu waislamu?
unalia kilio gani wewe nyamafu...?mtoi anahusika vipi na mimi?Kwanza laana km nyie mnauchafua uislam kuliko hata osama na ugaidi wake
 
haha...akili yako haina tofauti na kinyeo....hembu hesabu uharo ulioipaka dini yako halafu ,ungaliae kilio na kusingizia wengine unaelekeza wapi
sawa naona unatekeleza sera ya chadema ya kutukana waislamu ubarikiwe sana nicholasi waislama mohamed mtoi na saidi mohamedi wamekusoma unavyowakashifu,
 
unalia kilio gani wewe nyamafu...?mtoi anahusika vipi na mimi?Kwanza laana km nyie mnauchafua uislam kuliko hata osama na ugaidi wake

unamkashifu mohamedi mtoi na saidi mohamed, hawa ni waislamu wanaotukanwa na nicholas ,
 
unalia kilio gani wewe nyamafu...?mtoi anahusika vipi na mimi?Kwanza laana km nyie mnauchafua uislam kuliko hata osama na ugaidi wake

kwa hiyo kamanda nicholasi mohamedi mtoi ni gaidi kwa sababu ni muislamu?
 
Back
Top Bottom