McEM Member May 7, 2011 64 3 Aug 6, 2011 #1 Mke wangu anasumbuliwa na macho kwa kipindi kirefu sasa. Huwa anadai yana kama vikokoto na huwa yana muwasha na kupelekea macho kuvimba, nime mpeleka hospital alipata dawa yalitulia kwa muda tu. Kila aina ya dawa tume tumia ni zina tuliza tu.
Mke wangu anasumbuliwa na macho kwa kipindi kirefu sasa. Huwa anadai yana kama vikokoto na huwa yana muwasha na kupelekea macho kuvimba, nime mpeleka hospital alipata dawa yalitulia kwa muda tu. Kila aina ya dawa tume tumia ni zina tuliza tu.
Sdebaseboy JF-Expert Member Apr 9, 2015 775 247 Jan 19, 2016 #2 Wataalam mbona kimya, mdau anahitaji msaada wenu jamani,.
kat.ph JF-Expert Member Dec 19, 2013 2,222 1,675 Jan 19, 2016 #3 Umempeleka hospital gani? Kama unaishi Dar mpeleke ccbrt au international eye hospital