Ni nani yupo nyuma ya haya mapokezi makubwa ya Mh Mnyaa (CUF) huko Dsm?

MAPOKEZI MAKUBWA KUFANYIKA D'SALAAM KUMPOKE MHE HABIBU MNYAA.(MBUNGE)

Tayari maandalizi KABAMBE yanaendelea mkoani D'Salaam kumpokea Shujaa wetu Mhe MOHAMEDI HABIBU MNYAA Mbunge wa Bunge la AFRIKA MASHARIKI.

Ni baada ya KUWASHINDA mafisadi na wauza Dawa za KULEVYA wakiongozwa na mtuhumiwa mkuu wa madawa ya KULEVYA Freeman MBOWE (MAKENGEZA).

WATANZANI wote mashuhuda Jana TUNDU la KISU liliumbuka baada ya kushindwa kutafsiri Kanuni za uchaguzi wa EALA.

KILA TAWI LIJIANDAE FUSO TATU MAPOKEZI YATAANZIA MBEZI MWISHO.

Taarifa kamili tutajuzana STAY TUNE hapa hapa

"IKISHINDA CUF TUMESHINDA SOTE"

[HASHTAG]#NaBado[/HASHTAG] David maphone katika ubora wake miaka 800.
teh teh nimecheka sana hasa hapo pa ku mdowngrade lissu. kwani mnyaa ni cuf lipumba au cuf seif.
 
Mleta uzi umejiunga hapa JF juzi jmosi..
Jifunze kuandika ukiwa umetulia..
Huna haja ya kuandika kwa mihemko.
Huna haja ya kumwita Mbowe "makengeza " kwani hata wewe hapo ulipo unaweza kuwa kipofu kwa sekunde chache tu.
ok kumbe inauma kuita watu majina. hivi mipinzani kama tanzagiza na mange kimambi inapotukana matusi viongozi hadi rais wa jamhuri na kushangiliwa na michadema hapo mnaona patamu.. au sio
 
Huna lolote unaloweza kujilinganisha na Mbowe!sijafundishwa kutukana nawala sijui matusi,jirekebishe.
 
MAPOKEZI MAKUBWA KUFANYIKA D'SALAAM KUMPOKE MHE HABIBU MNYAA.(MBUNGE)

Tayari maandalizi KABAMBE yanaendelea mkoani D'Salaam kumpokea Shujaa wetu Mhe MOHAMEDI HABIBU MNYAA Mbunge wa Bunge la AFRIKA MASHARIKI.

Ni baada ya KUWASHINDA mafisadi na wauza Dawa za KULEVYA wakiongozwa na mtuhumiwa mkuu wa madawa ya KULEVYA Freeman MBOWE (MAKENGEZA).

WATANZANI wote mashuhuda Jana TUNDU la KISU liliumbuka baada ya kushindwa kutafsiri Kanuni za uchaguzi wa EALA.

KILA TAWI LIJIANDAE FUSO TATU MAPOKEZI YATAANZIA MBEZI MWISHO.

Taarifa kamili tutajuzana STAY TUNE hapa hapa

"IKISHINDA CUF TUMESHINDA SOTE"

[HASHTAG]#NaBado[/HASHTAG] David maphone katika ubora wake miaka 800.
Wauza madawa ya kulevya hawatapenya
Go gooo goooo gooooo mnyaa!! Go mnyaa go mnyaa gooooooooo
karudishwa na wananchi!!
Lengo la elimu huwa ni kuelimisha ila cha ajabu ni pale ambapo pamoja na kupata elimu lakin bado mtu ndio anazidi kuwa mjinga sijui tafsiri yake ni ipi, ushabiki mwingine wa kijinga sana sana na unakuvua nguo , wauza madawa wote wapo kwenye vyombo vya usalama cha ajabu ni pale muuza madawa anapo shiriki shughuli za kujenga taifa na kutunga sheria za nchi na kupanga budget ya nchi, kweli kundi hili lenu mmejaa vichaa . tena viachaa walizidiwa , wagonjwa wa akili walio pititiliza ,
HAKUNA TAIFA LINALO JENGEKA NA KUKUA KWA KUSAMBAZA CHUKI NA HAITA KUJA KUTOKEA.
 
Ukweli sivema kusema kusema mengi mwisho uongo utaingia pia Sheria ya Makosa ya Dawa za kulevya ikoje au inaelekeza nini kwa mkosaji wa Dawa za kulevya kama ni ukweli kuna Watuhumiwa wa aina hiyo wasio shughuliwa na Sheria hiyo tujihoji sote ikiwa kuna or evidence ushahidi usioachilia kwanini wasiadhibiwe kinyume chake tuepuke uongo ghalama ya uongo mtakatifu kwa Mungu haitasameheka kamwe tuache uongo hasa kama tun aamini uwepo wa Mungu tuwa seme mapungufu mengine ila tuogope uongo tutaulizwa siku moja
 
Sina chama lakini wewe ni nani duniani. Unajua kesho utakuwa hai au mfu. Jirekebishe, maisha ni mafupi sana na waheshimu watu wote.
 
Yan pamoja kuwa na ufadhili mnene wa watawala Bado mnapandishana mafuso,ushindi wamewapa waambieni wawapeni hata mabus ya uda mshangilie vizuri ushindi wenu dhalimu maana mmeamua kujitoa fahamu zenu kweli kweli kuupunguza nguvu upinzani mkiongozwa na prof mchumia tumbo
 
KWELI MATUSI HAYANA BEI BALI NI GHARAMA. KAMA UNAJITHAMINI UTAKUWA UMEJIFUNZA.
 
Watanganyika ni nani alie waroga ndio akili za viwonder hizi?
 
MAPOKEZI MAKUBWA KUFANYIKA D'SALAAM KUMPOKE MHE HABIBU MNYAA.(MBUNGE)

Tayari maandalizi KABAMBE yanaendelea mkoani D'Salaam kumpokea Shujaa wetu Mhe MOHAMEDI HABIBU MNYAA Mbunge wa Bunge la AFRIKA MASHARIKI.

Ni baada ya KUWASHINDA mafisadi na wauza Dawa za KULEVYA wakiongozwa na mtuhumiwa mkuu wa madawa ya KULEVYA Freeman MBOWE (MAKENGEZA).

WATANZANI wote mashuhuda Jana TUNDU la KISU liliumbuka baada ya kushindwa kutafsiri Kanuni za uchaguzi wa EALA.

KILA TAWI LIJIANDAE FUSO TATU MAPOKEZI YATAANZIA MBEZI MWISHO.

Taarifa kamili tutajuzana STAY TUNE hapa hapa

"IKISHINDA CUF TUMESHINDA SOTE"

[HASHTAG]#NaBado[/HASHTAG] David maphone katika ubora wake miaka 800.
Napata shaka kama ni GAL.... Je unazijua amri? Amri Kubwa nazo ni mbili tu, moja wapo ni Upendo kwa jirani yako ...alaaniwe anae kosoa uumbaji wa Mungu..lakini siku si nyingi..
 
Back
Top Bottom