The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 837
Natamani mchengerwa awe PM au January makamba.Guys kwa zandan majaliwa ameshachwa nje ya mfumo na yupo kwake kazuiwa Ata kuchukua fomu na sio kwamba kaacha kugombea kwa hiari yake.
Kwaio guys njoon hapa tutabiri nani atakua wazir mkuu anaefata
Ww hujui nguo ijumaa hufuliwa alhamisKwani uchaguzi tayali au ndio ndoto za jioni kabla ya kulala
Apo hamna mmoja anafaa wote wapigaji kama mama yaoNatamani mchengerwa awe PM au January makamba.
umetumia kilevi chochote?Mchengerwa ni kibaka ambaye anasubir kwenda jela na huyo Makamba sio mtendaji kabsa ni diplomatic personNatamani mchengerwa awe PM au January makamba.
naunga mkono hoja
Bsi tutampa mumeo ....ye si muaminifu???Apo hamna mmoja anafaa wote wapigaji kama mama yao
Mmojawapo ndio PM ajaye ...utaki jiue!!umetumia kilevi chochote?Mchengerwa ni kibaka ambaye anasubir kwenda jela na huyo Makamba sio mtendaji kabsa ni diplomatic person
Lissu ni rais in sha AllahAwe Lisu
Mbona unanitusi chief mm mwanamme mume namtolea wapiBsi tutampa mumeo ....ye si muaminifu???
Nafikiri kunajina LucaBaada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutangaza leo kutokugombea tena nafasi ya ubunge bila shaka sasa lazima baada ya uchaguzi mkuu kutapatikana waziri mkuu mpya
Kwaio guys njoon hapa tutabiri nani atakua wazir mkuu anaefata