Kwenye Fizikia tunasema , Newton's Third Law: For every Force(Action), there is an Equal and Opposite Reaction!"Unaweza kumuuwa mwana mapinduzi lakini huwezi kuziua fikra za kimapinduzi," Thomas Sankara.
Paul Makonda ametangaza kutaka kuuawa mara tatu kwenye ziara zake kama katibu mwenezi wa ccm!
2020 mwezi march aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Phillip Mangula aliekewa SUMU kwenye kikao cha ndani na siri cha CCM pale Dodoma, taarifa hii haikuwa siri na alilazwa muhibili Kwa matibabu na taarifa pia zilielezwa na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wakati ule.
2024, Mbunge Ole wa CCM ameshambuliwa kwa risasi bold neno mbunge wa CCM ameshambuliwa Kwa risasi waziwazi.
Magufuli akiwa anazindua kitabu cha hayati mkapa mwaka 2019 cha my life my purpose anasema akiwa naibu waziri alishawahi kuekewa SUMU, hii aliongea waziwazi hadharani, alikuwa mbunge WA CCM na waziri wa CCM hizo unazikumbuka au andiko linalengo la kumgandamiza Makonda?
Nani ambaye yupo nyuma ya michezo hii michafu ya kutegeana SUMU na kuuwana? Logic NI nini? Kumaliza kikazi cha wazalendo na wachapakazi? Mbegu haziishi maana matunda yake ni mengi.
Leo kuna akina Magufuli wengi sana kwenye nchi kuliko wakati mwingine wowote ule na kama unabisha subiri muda utaongea.
Go go Paul, malaika wako ametangulia mbele yako, soma Joshua 1-9. Je, si Mungu aliyekutuma? Uwe jasiri na mwenye moyo wa ushujaa maana ni yeye ndie aliyekutuma.
ni kweli kabisa fikra za kimapinduzi hazizuiliki, hasa zikiwa zimebebwa watu weledi na wenye ufahamu na uelewa wa kimapinduzi. Sio wavuta bangi, majambazi wa malori, wadhulumati wa wafanykazi wa makampuni yao au vibaraka.."Unaweza kumuuwa mwana mapinduzi lakini huwezi kuziua fikra za kimapinduzi," Thomas Sankara.
Paul Makonda ametangaza kutaka kuuawa mara tatu kwenye ziara zake kama katibu mwenezi wa ccm!
2020 mwezi march aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Phillip Mangula aliekewa SUMU kwenye kikao cha ndani na siri cha CCM pale Dodoma, taarifa hii haikuwa siri na alilazwa muhibili Kwa matibabu na taarifa pia zilielezwa na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wakati ule.
2024, Mbunge Ole wa CCM ameshambuliwa kwa risasi bold neno mbunge wa CCM ameshambuliwa Kwa risasi waziwazi.
Magufuli akiwa anazindua kitabu cha hayati mkapa mwaka 2019 cha my life my purpose anasema akiwa naibu waziri alishawahi kuekewa SUMU, hii aliongea waziwazi hadharani, alikuwa mbunge WA CCM na waziri wa CCM hizo unazikumbuka au andiko linalengo la kumgandamiza Makonda?
Nani ambaye yupo nyuma ya michezo hii michafu ya kutegeana SUMU na kuuwana? Logic NI nini? Kumaliza kikazi cha wazalendo na wachapakazi? Mbegu haziishi maana matunda yake ni mengi.
Leo kuna akina Magufuli wengi sana kwenye nchi kuliko wakati mwingine wowote ule na kama unabisha subiri muda utaongea.
Go go Paul, malaika wako ametangulia mbele yako, soma Joshua 1-9. Je, si Mungu aliyekutuma? Uwe jasiri na mwenye moyo wa ushujaa maana ni yeye ndie aliyekutuma.
Au aingilie biashara za watu aoneUkitaka kufa hata Leo nenda kachukue form ya kugombea ubunge jimboni kwako uone moto.
Chama twawala wamekula wamemaliza sasa wanakulawenzaoπ"Unaweza kumuuwa mwana mapinduzi lakini huwezi kuziua fikra za kimapinduzi," Thomas Sankara.
Paul Makonda ametangaza kutaka kuuawa mara tatu kwenye ziara zake kama katibu mwenezi wa ccm!
2020 mwezi march aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Phillip Mangula aliekewa SUMU kwenye kikao cha ndani na siri cha CCM pale Dodoma, taarifa hii haikuwa siri na alilazwa muhibili Kwa matibabu na taarifa pia zilielezwa na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wakati ule.
2024, Mbunge Ole wa CCM ameshambuliwa kwa risasi bold neno mbunge wa CCM ameshambuliwa Kwa risasi waziwazi.
Magufuli akiwa anazindua kitabu cha hayati mkapa mwaka 2019 cha my life my purpose anasema akiwa naibu waziri alishawahi kuekewa SUMU, hii aliongea waziwazi hadharani, alikuwa mbunge WA CCM na waziri wa CCM hizo unazikumbuka au andiko linalengo la kumgandamiza Makonda?
Nani ambaye yupo nyuma ya michezo hii michafu ya kutegeana SUMU na kuuwana? Logic NI nini? Kumaliza kikazi cha wazalendo na wachapakazi? Mbegu haziishi maana matunda yake ni mengi.
Leo kuna akina Magufuli wengi sana kwenye nchi kuliko wakati mwingine wowote ule na kama unabisha subiri muda utaongea.
Go go Paul, malaika wako ametangulia mbele yako, soma Joshua 1-9. Je, si Mungu aliyekutuma? Uwe jasiri na mwenye moyo wa ushujaa maana ni yeye ndie aliyekutuma.
Fomu Bado kutolewa, uchaguzi Bado.Ukitaka kufa hata Leo nenda kachukue form ya kugombea ubunge jimboni kwako uone moto.
Hakuna wa kumuua Makonda kwa sababu siyo tishio kwa mtu yeyote yule. Upeo wake wa kuchanganua mambo ni mdogo sana na anatumika kama mbwa. Makonda anajishtukia kwa yale aliyofanya wakati wa Magufuli. RIP Ben Saanane."Unaweza kumuuwa mwana mapinduzi lakini huwezi kuziua fikra za kimapinduzi," Thomas Sankara.
Paul Makonda ametangaza kutaka kuuawa mara tatu kwenye ziara zake kama katibu mwenezi wa ccm!
2020 mwezi march aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Phillip Mangula aliekewa SUMU kwenye kikao cha ndani na siri cha CCM pale Dodoma, taarifa hii haikuwa siri na alilazwa muhibili Kwa matibabu na taarifa pia zilielezwa na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wakati ule.
2024, Mbunge Ole wa CCM ameshambuliwa kwa risasi bold neno mbunge wa CCM ameshambuliwa Kwa risasi waziwazi.
Magufuli akiwa anazindua kitabu cha hayati mkapa mwaka 2019 cha my life my purpose anasema akiwa naibu waziri alishawahi kuekewa SUMU, hii aliongea waziwazi hadharani, alikuwa mbunge WA CCM na waziri wa CCM hizo unazikumbuka au andiko linalengo la kumgandamiza Makonda?
Nani ambaye yupo nyuma ya michezo hii michafu ya kutegeana SUMU na kuuwana? Logic NI nini? Kumaliza kikazi cha wazalendo na wachapakazi? Mbegu haziishi maana matunda yake ni mengi.
Leo kuna akina Magufuli wengi sana kwenye nchi kuliko wakati mwingine wowote ule na kama unabisha subiri muda utaongea.
Go go Paul, malaika wako ametangulia mbele yako, soma Joshua 1-9. Je, si Mungu aliyekutuma? Uwe jasiri na mwenye moyo wa ushujaa maana ni yeye ndie aliyekutuma.
IlFomu Bado kutolewa, uchaguzi Bado.
USIOGOPE ikiwa unayo Nia, pita Kwa kiongozi wako kiroho, mshirikishe, Kisha nenda kachukue fomu muda ukifika.
Uwe na HAKIKA utapewa Malaika wa kuambatana nao katika mchakato mzima.
Ubarikiwe. Najua kwamba muda wa uchaguzi bado hujfika
Najuwa kwamba muda wa uchaguzi bado hujafika ila nilikuwa natoa yaliyomo kwenye mfumo wa siasa.Fomu Bado kutolewa, uchaguzi Bado.
USIOGOPE ikiwa unayo Nia, pita Kwa kiongozi wako kiroho, mshirikishe, Kisha nenda kachukue fomu muda ukifika.
Uwe na HAKIKA utapewa Malaika wa kuambatana nao katika mchakato mzima.
Ubarikiwe.
Ni hatari,ogopaaAu aingilie biashara za watu aone
Ova