Nimepita samora leo nikawana naangalia majengo nikawa na hasira na utawala mbovu!Nikaona maandishi yameandikwa MAKAOMAKUU YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA,Nikakumnbuka mashirika yaliyotia fola enzi hizo ukisikia mtu anafanya mashirika haya unakaa naye mbali
Namengineyo ongezea hapa leo tumebeki na Tanesco nayenyewe inachechemea!!Hakuna kiwanda hata kimoja!!Hapana tunayo haki kubadrisha utawala!!Leo elfu kumi uwezi kununua kilo mbili za nyama ya steki!
- BIMA
- TANESCO
- NMC
- RELI
- BANDARI
- NASACO
- RTC
- POSTA NA SIMU
- SUDECO
- NBC
- TTC
- BUSHTRAKER
- Tangayika Pekers

Watu walibinafsisha kiwanda cha beef wakafanya godauni nasasa makanisa!!Zaidi yatanzania niliyoijua!!Mimi nikitawala ninawaweka kizuizini wotewale waliohusika na uhujumu uchumi!Kwa machungu tuliyo nayo unaweza kunyonga mtu aliyehusika kuua haya mashirika hadharani ili japo machungu yatulie!