... lakini nusu saa kabla ya sherehe za mwaka mpya, baruti yangu ikawa haionekani...
..nimemsamehe, ila sitamsahau kabisa, kwa jinsi alivyonifanya nilale kabla sijauona mwaka!
we kweli noma...Usimwambie ukweli mwenzio bwanaaMkuu kuna ukweli hapa,au ndo ntoke vp?sorry kwa kukuchana live.
Mkuu kuna ukweli hapa,au ndo ntoke vp?sorry kwa kukuchana live.
Sasa andare, nusu saa before new year ulipokosa baruti yako, ulikufa ama ulifariki dunia? Inakuwaje ikakuzuia kuuona mwaka, ama baruti ilikuwa ndo tochi yako?
sijui ni mimi au vipi... mtu akiweka habari ya mahaba au mapenzi halafu ana avatar kama vile ni mchawi kutoka sumbawanga naona everything relating to him/her is fake
aiseee
its a long time tradition, kuwa macho wakati mwaka unapobadilika, kuikosa baruti yangu kulinifanya nilale mapema!
It's againt the norms...
So, hiyo nusu saa tu before new year ulipogundua huna baruti ukalala hapo hapo? Ungemuomba kongosho akutengenezee hiyo ya dk 5. Pole sana, I hope baruti za majirani zako hazikukuamsha
frastresheni dadangu...
Ilikuwa ngumu kuwa na wazo la ku-PM kongosho,
nadhani unajua fika kuwa namba yake alininyima.