simon mato
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 926
- 485
Ndugu wanajamvi;
Nawasalimu popote mlipo wote Leo nachukua kalamu yangu baada ya mda mrefu jamvini kutoonekana lengo langu ikiwa ni kuendeleza ujenzi wa taifa kizalendo.
Kuna mambo kadha wa kadha yametokea hapo katikati yaliyoitingisha nchi yetu kiaina, Binafsi nimeshukuru kwa issue ya Madawa ya kulevya kuachiwa kwa taasisi husika na siyo kwa mtu.
Swali langu leo ni kwanini Babu KINANA yupo kmya??
Kutokana na matukio makubwa haya yaliyotokea nchini chini ya utawala wa tano lakini naona Katibu wa chama yupo kimya sanaa, kuna mambo mengi sanaa yawezekana yapo chini kwa chini hapa.
Siyo kawaidaa ya KINANA kukaa kimya hivii ata kwenye utawala wa awamu ya nne haijawahi tokea kukaa kimya hivii kwahyo napatwa na hofu Mkubwa sanaa tunamjua Babu kwa kuendesha operations mbalimbali kwenye chama na mikakati yote ndani ya chama lakini sasa yupo kimya sanaa kuna nini??
NI KOSA KUBWA KUTOWAAMINI VIJANA HAWA CCM:
Ni jambo mbaya kutokuwa na imani kwa mtu kama January Makamba, Nape, M.Nchemba!!! Tukumbuke kwa sasa kuna figisufigisu inayoendelea chini kwa chini ya kuwadhoofisha kisiasa hawa watu na kwa ushaidi kuna Audio ile iliyotengenezwa yote Yale walengwa ni hawa watu.
Mbinu chafu zinaendelea kwa gharama ya mtu Fulani ambaye kwa tetesi inasemekana yupo kuandaa mtandao wake wa urais 2025! na sasa kuna tetesi kuwa kutakuwa na panga pangua ya baraza la mawaziri soon hofu lazidi kutanda chamani endapo ata mmoja wa hawa vijana atatemwa uwaziri.
CCM imetumia nguvu nyingi kuudelete mtandao kwenye chama je hawa wanaotuletea tena mtandao kwenye chama ni akina nani? Na kwa gharama ya nani? CCM IJITATHMINI UPYA !!!
Kwanini huyu mtu anaogopa physical battle kwenye ground mpaka atumie njia na mbinu chafu wa kudhoofisha wenzie? Je anajua umuhimu wa watu ambao Leo anataka kujenga nao uhadui kwenye chama kisa tyuu kuutafuta Urais! Hivii vyeo ni dhamana zinapita tuuh ndugu zangu.
ONYO: CCM ni chama tawala lina watu wa kila aina hivo msione wamekaa kimya mkafikiri wanaogopa Bali ni busara tuuh wanatumia ila huyo mtu anaweza kufanikiwa kwa hizi mbinu chafu ila akaja anguka pua na atapata pigo ambalo hatoisahau maishani mwake katika siasa!
Ni wako kijana mtiifu,mwaharakati na mzalendo wa kweli Tz: