Ni Moise Katumbi ndo tegemezi letu Wakongo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kukataa Moise Katumbi ni sawa na kukataa ukombozi wa nchi yetu

Mara nyingi nimekuwa nikisema hii nchi inahitaji kiongozi mwenye akili zaidi kuliko muongo muongo kama Felix

Mwaka 2019 Felix alifikiri uongozi ni kama shati la kuvaa sasa akahidi vitu vingi kwa wakongomani

Mwisho akashindwa kutengeleza hata kimoja sasa hivi anajificha kwenye mgongo wa vita ya M23
Ili kuonyesha raia kuwa ni mtetezi wawanyonge

Lakini pamoja na hayo bado M23 inaonekana wana nguvu kuliko jeshi letu

Kibaya zaidi rais wetu yeye alisema kuwa ni Rwanda ndo wana sapoti M23 kwanini tusipambane kumtoa yule kagame madarakani ili tuvunje nguvu ya M23

Any way Felix sio kiongozi alipewa madaraka ambayo yako juu kabisa na uwezo wake

Hata tukimpa muhula wa pili akuna atakacho badilisha

Waswahili usema nyota njema uonekana asubuhi subiri tujaribu na huu msemo wa Wakenya nao kuwa asubuhi mipango jioni vitendo

Ila tukiangalia kwa umakini kabisa bila kutumia ushabiki Moise Katumbi anafaa kuwa kiongozi wa nchi kuliko mtu yeyote

Hii nchi inatakiwa itawaliwe na kiongozi mzungu au mwenye asili ya kizungu ili tupate amani maana wanao tutesa sisi hivi sio Rwanda ni watu wenye nguvu zao uko

Na hatuwezi kukwepa ndugu zetu bado knowledge zetu ni ndogo kupambana na hawa watu dawa yao ni kuweka kiongozi mwenye asili yao tu kwasababu watakuwa wanajuana pamoja na kuchukuwa mali zetu watakuwa pia wanatusaidia vitu vingi kwasababu tutakuwa na mtu wao
 
Wewe ni mtusi tu , tunajua Felix kawabana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…