Ni mjeshi au kavaa tu

hakuna cha ajabu,kwani hana mtarimbo
 
Hiyo Ndiyo Kazi Tuliyowatuma Kuifanya Ya KUTINDUANA Sasa Leo Tunalalamika Nini? Ila Huyo Mjeda Nae Ni ----- na Amelitia Doa JESHI LA WAKURYA TOKA ZAMANI ( JWTZ ) Japo Lenyewe Linaona Ni Sifa na Mwangalie Alivyokodoa MIMACHO Yake. Haya WAJEDA MLIO HUMU JF Tuwekeni Sawa ktk Hili Na Niwajuavyo Mabingwa Wa Kukwepa Hoja na Shutuma Najua Mtakanusha tu Kuwa Huyo Siyo Askari Wenu.
 

We unaona hiyo ni uniform ya TPDF?!!
 
Hiro rimevaa tu siunaona ririvyo regeza mikono kumshika huyo binti kidani
 
Anakula denda bila kufumba macho? hata hainjoi..........
 
Ooyooo wahenga wa minena kazi na Dawa bila dawa homa haitoki na ukipata dawa utakuwa na nguvu za kulinda mipaka kwa nguvu mpya
 


M23 huyo
na sijui kofia ya Mwigulu kaipatia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…