Hahahaha muache dogo asipotee jumla huko.Si ukanunue tu Wamejaa hapa tbt, Mibanano ya nini na madem..
Nakaribisha mtongozo wako kwanguHabari za wakati huu wanajf!!
poleni na majukumu ya siku ya Leo!!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
mimi ni kijana Nina miaka 21.
Nina tabia moja ambayo nashindwa kujua ni tabia ya aina gani.
Nimetongoza wasichana wawili toka nianze Ku..... na wote wamenikataaa kwa sababu wanazozijua wenyewe...
sasa inakuja hivi naumia sana mpaka hata nikimuona msichana mwenyewe natamani kubadilisha njia ili hali tusionane.
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na mambo haya! hii hali inanitokea mimi tu.... au hata na wengine? Na kama ni hali ya kawaida wewe ulitumia njia gani kuishinda hali hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zingatia mada inasemaje mkuu swala la kusoma ni lingine kuna mahusiano gani kati ya elimu na mapenzi?Dogo ebu soma kwanza
Hahahaha muache dogo asipotee jumla huko.
Najua hawezi fanya kitu ila nafikiria atakuwa ananionaje au ananielezea vipi kwa wenzake! Yaani inaniuma mpaka basiMkuu komaaa tu, kubadili njia si solution but face her kama mbwai na iwe mbwai
Face her forthly don't fear
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn ndg tayari imetokea hebu fanya kunishauri kwanza juu ya hali hii mengine yatafuataSi ukanunue tu Wamejaa hapa tbt, Mibanano ya nini na madem..
Asante sana nimependa ulivyojibuHahahaha muache dogo asipotee jumla huko.
Hahahaahhaha! Sipo tayari wewe nishauri tyu kwanzaNakaribisha mtongozo wako kwangu