MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 434
Thanks boss maendeleo ya watuKataa CCM, twende na Tundu Lissu na CHADEMA 28/10/2020
No trap hereThe Rat race trap
Kabisa, Kama anashida anasema Mambo ya vijisababu siyo issue.Sa jingine swala la kumpa hela mwanamke sio kuhonga tu
Ni kama mshikaji anapiga simu kuomba kilo amekwama mahali flani,unaweza kumpa tu kishikaji sasa na mwanamke inabid umchukulie hivyo hivyo ni mtu wa karibu ananipa papachu ana shida nampa ...
Hela ngapi tumetumia bwana tena sisi wanaume tunatumia hela hovyo sana...
Mi eX wangu yeyote ambye tumeachana kistaarabu nikiwa na hela, kaniomba nampa sio big deal sana.
Mi nisichopenda ni kunilaghai nikupe hela hapo ndo sitakagi kujiona mjinga....una shida na hela go straight niambie nina shida hii naomba kiasi flani kama unacho basiiiii sitaki mambo ya sijui shangazi anaumwa hlf simu yangu imeharibika mara hivi mara vile hapo nasema sina bila hata kuwaza mara mbili...
Well saidSa jingine swala la kumpa hela mwanamke sio kuhonga tu

Pamoja mkuuNa mm ni kama mtoa mada
Narudia tena na mm ni kama mtoa mada