mchakachuaji
Member
- Aug 12, 2010
- 58
- 7
hapa mkuu sijakuelewa, ngara na rukwa ulikusudia nini. Nijuavyo ngara ipo kagerastella manyanya nampa pole sana,mkoa wa rukwa ni mgumu sana,majungu kibao,pia kuna dc mmoja huko ngara wakimbizi walikuwa wanamuita mbaya kwetu,ni mbabe,hatumii reasoning na usipomuangalia kwa makini anaweza kukuzamisha.i know wewe ni mtendaji mzuri wa kazi lakini please muangalie sana huyo jamaa.
Sijui anamaanisha nini...........Rukwa na Ngara wapi na wapi..hapa mkuu sijakuelewa, ngara na rukwa ulikusudia nini. Nijuavyo ngara ipo kagera
...Anaitwa John Mzurikwao. jamaa ni retired soldier alikuwa DC wilaya ya kibondo baadae akahamishiwa wilaya ya Mpanda. Anapenda ubabe sana na anapokuta senior wake kama RC sio strong ni msufu. Kigoma alitulia kwa kuwa alikuwa chini ya Soldier mwingine mtemi Joseph Simbakalia.....Ni kweli Stella itabidi ajifunze ugumu...Stella Manyanya nampa pole sana,Mkoa wa Rukwa ni mgumu sana,majungu kibao,pia kuna DC mmoja huko Ngara wakimbizi walikuwa wanamuita MBAYA KWETU,ni mbabe,hatumii reasoning na usipomuangalia kwa makini anaweza kukuzamisha.I know wewe ni mtendaji mzuri wa kazi lakini please muangalie sana huyo jamaa.
katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, mheshimiwa rais amemteua eng. Stellla manyanya ambaye ni mbunge, rafiki, kada na mjumbe wa kamati ya kudumu ya bunge kuwa mkuu wa mkoa.
Hii ni aibu, kwani hakuna watu wengine wa kuongoza ili kupunguza ukosefu wa ajira na kutokuwa na mgongano wa kimaslahi? Akiwa kwenye kamati ya bunge au bungeni anaweza kujikagua kama mkuu wa mkoa?
Pili mikoa ya arusha, morogoro na mwanza hakuwa sahihi kuwapelekea waliokuwa wakuu wa wilaya au makada. Na hii ndio hasara ya kutokuwa na vigezo vya kisheria vya kuwateua wakuu wa wilaya na mikoa au vigezo alivyosema generali ulimwengu kuwa huzingatia ugirlfriend na ukada?
Yashamwagikaaaa hashaurikii au ana washauri wabaya?
mbona umuulizi mungu kwa nini yeye ni mungu wa wajane yatima na wenye shida na aukuwa wewe,,,kingine kukujulisha ndugu ombea baraka zako ukingangana na za watu utishia kwenye maandishi huyo mama simjui lakini ndio yuko kwenye system mpwa ombea na wwewe ukamate hata ukatibu kata believe me...utaniambia kwenye kikosi cha chadema 2015
aakikisha una kadi ya chama
Sasa huyo atatumikia wapi? ubunge ama ukuu wa mkoa? da masaburi ni nomaaaaa jamani. inamaana waliomchagua hawajatendewa haki ama wa kuteuliwa huyo?Hawa wahandisi nao wameingia kwenye siasa wamekuwa ovyo tu ni kujikomba alimradi siku ziende
mbona umuulizi mungu kwa nini yeye ni mungu wa wajane yatima na wenye shida na aukuwa wewe,,,kingine kukujulisha ndugu ombea baraka zako ukingangana na za watu utishia kwenye maandishi huyo mama simjui lakini ndio yuko kwenye system mpwa ombea na wwewe ukamate hata ukatibu kata believe me...utaniambia kwenye kikosi cha chadema 2015
aakikisha una kadi ya chama
Mkuu unahasira hadi unatoka kwenye mstari.. Watu wa type hasa za pass vyuon wasipewe nafas. Najua wengi mtanipinga lakin huo ndio ukwel na pia ni mtazamo wangu. Natoa hoja
<br />mbona umuulizi mungu kwa nini yeye ni mungu wa wajane yatima na wenye shida na aukuwa wewe,,,kingine kukujulisha ndugu ombea baraka zako ukingangana na za watu utishia kwenye maandishi huyo mama simjui lakini ndio yuko kwenye system mpwa ombea na wwewe ukamate hata ukatibu kata believe me...utaniambia kwenye kikosi cha chadema 2015<br />
aakikisha una kadi ya chama
<br />Kama kawaida yake baba riz aka mzee wa suti. Kwake kumjazia mtu mavyeo sio issue kwa kuwa reasoning yake poor. 'inabidi ifike mahali hivi vigezo vya elimu vya mgombea kiti flan viwe modified isiwe tu awe elimu kias flan na perfomance nayo izingatiwe. Kuna uhusiano mkubwa kati ya poor perfomance and reasoning. Watu wa type hasa za pass vyuon wasipewe nafas. Najua wengi mtanipinga lakin huo ndio ukwel na pia ni mtazamo wangu. Natoa hoja