Niliwaambia hapa majuzi inahitaji muda tu kuiona misri ikifuata nyayo za Syria,mashariki ya Kati sasa italipuka yote,na mtu anaekuja kuathirika zaidi ni babu yangu alie geita huko maana bei ya mafuta itapanda vibaya mgogoro mpya wa kiuchumi duniani unanukia,nashangaa kuna watu walikuwa wakishangilia mapinduzi ya kijeshi hapa