Ni Matumaini yangu makubwa kuwa katika Filamu ya 'Royal Tour' ya Rais Samia hata haya Magofu ya NHC Kawe na Kigamboni yamejumuishwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
Tafadhali kama hayajajumuishwa na yamesahaulika kwa bahati mbaya GENTAMYCINE naomba yajumuishwe upesi kwani yatatusaidia Kuutangaza Utalii wa Uzembe na Kutuonyesha Watanzania kupitia Viongozi wetu tusivyokuwa 'Serious' kwa mambo ya Msingi kama siyo ya maana.

Nitashukuru Ombi langu likikubaliwa na nashauri kama ambavyo tumeenda Kuzima Mwenge Jana Chato na kuweka Shada la Maua kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999 hata hiyo 'Filamu' ya 'Royal Tour' nayo 'ikazinduliwe' hapo hapo Kaburini Chato.
 
Aulizwe msigwa ana majibu kwa nini magofu hayo hayakuonwa kwenye royal tour
 
Tafadhali kama hayajajumuishwa na yamesahaulika kwa bahati mbaya GENTAMYCINE naomba yajumuishwe upesi kwani yatatusaidia Kuutangaza Utalii wa Uzembe na Kutuonyesha Watanzania kupitia Viongozi wetu tusivyokuwa 'Serious' kwa mambo ya Msingi kama siyo ya maana.

Nitashukuru Ombi langu likikubaliwa na nashauri kama ambavyo tumeenda Kuzima Mwenge Jana Chato na kuweka Shada la Maua kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999 hata hiyo 'Filamu' ya 'Royal Tour' nayo 'ikazinduliwe' hapo hapo Kaburini Chato.

D75A54AF-CE07-4A8B-8B42-F806F5C80EEB.jpeg
 
Back
Top Bottom