kinehe JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 205 Reaction score 198 Feb 25, 2018 #1 Habari wakuu,, ni maswali gani uliwahi ulizwa na wazazi/ndugu zako ulipoenda kuwambia kwa mara ya kwanza umepata mchumba anataka aje kujitambulisha/kumtambulisha home? Karibuni kwa michango.
Habari wakuu,, ni maswali gani uliwahi ulizwa na wazazi/ndugu zako ulipoenda kuwambia kwa mara ya kwanza umepata mchumba anataka aje kujitambulisha/kumtambulisha home? Karibuni kwa michango.
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 Feb 25, 2018 #2 Kabila gani? Anaishi wapi?
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Feb 25, 2018 #3 Mbona mapema? Ni wawapi? .......
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Feb 25, 2018 #4 Mr Miller said: Kabila gani? Anaishi wapi? Click to expand... Bila shaka maswali ya mama haya. Miller
Mr Miller said: Kabila gani? Anaishi wapi? Click to expand... Bila shaka maswali ya mama haya. Miller
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,579 Reaction score 55,632 Feb 25, 2018 #5 Ni wa wapi? Anajishughulisha na nini?
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,993 Feb 25, 2018 #6 Kuna ndugu yangu aliulizwa una kipato kingne nje ya mshahara wako
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 Feb 25, 2018 #7 Daby said: Bila shaka maswali ya mama haya. Miller Click to expand... Haswaa....hapo ukiacha lile ambalo lazima nililitarajia teh
Daby said: Bila shaka maswali ya mama haya. Miller Click to expand... Haswaa....hapo ukiacha lile ambalo lazima nililitarajia teh
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Feb 25, 2018 #8 Mr Miller said: Haswaa....hapo ukiacha lile ambalo lazima nililitarajia teh Click to expand... Wazee wengi kwenye kuoa maswali machache tu... ila mama atataka adadisi yote
Mr Miller said: Haswaa....hapo ukiacha lile ambalo lazima nililitarajia teh Click to expand... Wazee wengi kwenye kuoa maswali machache tu... ila mama atataka adadisi yote
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 Feb 25, 2018 #9 Daby said: Wazee wengi kwenye kuoa maswali machache tu... ila mama atataka adadisi yote Click to expand... si anajua mke anatakiwa achukue nafasi ya mama sasa lazima ajue anakukabidhi kwa mama bora
Daby said: Wazee wengi kwenye kuoa maswali machache tu... ila mama atataka adadisi yote Click to expand... si anajua mke anatakiwa achukue nafasi ya mama sasa lazima ajue anakukabidhi kwa mama bora
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Feb 25, 2018 #10 Mr Miller said: si anajua mke anatakiwa achukue nafasi ya mama sasa lazima ajue anakukabidhi kwa mama bora Click to expand... Ni kweli... kuna wale kina mama wanakuambia ukileta mke ulete mke kweli
Mr Miller said: si anajua mke anatakiwa achukue nafasi ya mama sasa lazima ajue anakukabidhi kwa mama bora Click to expand... Ni kweli... kuna wale kina mama wanakuambia ukileta mke ulete mke kweli
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 Feb 25, 2018 #11 Daby said: Ni kweli... kuna wale kina mama wanakuambia ukileta mke ulete mke kweli Click to expand... Ndio, ila wawe na sababu zinazoingia akilini sio wanakwambia vitu vingine hata ukivitafakari havileti maana.
Daby said: Ni kweli... kuna wale kina mama wanakuambia ukileta mke ulete mke kweli Click to expand... Ndio, ila wawe na sababu zinazoingia akilini sio wanakwambia vitu vingine hata ukivitafakari havileti maana.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Feb 25, 2018 #12 Mr Miller said: Ndio, ila wawe na sababu zinazoingia akilini sio wanakwambia vitu vingine hata ukivitafakari havileti maana. Click to expand... Mfano kuna wengine wanakuambia staki kabila hili. Utafanyaje akishkilia msimamo wake?
Mr Miller said: Ndio, ila wawe na sababu zinazoingia akilini sio wanakwambia vitu vingine hata ukivitafakari havileti maana. Click to expand... Mfano kuna wengine wanakuambia staki kabila hili. Utafanyaje akishkilia msimamo wake?
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 Feb 25, 2018 #13 Daby said: Mfano kuna wengine wanakuambia staki kabila hili. Utafanyaje akishkilia msimamo wake? Click to expand... Akiniambia sababu za kukataa nikiridhika nazo na nikiona zinaMake sense...sawa, wao wameishi miaka mingi wanajua mengi pia... Ila akisema tu hilo kabila halifai na hana sababu za msingi siwezi kumuelewa...atanisamehe tu
Daby said: Mfano kuna wengine wanakuambia staki kabila hili. Utafanyaje akishkilia msimamo wake? Click to expand... Akiniambia sababu za kukataa nikiridhika nazo na nikiona zinaMake sense...sawa, wao wameishi miaka mingi wanajua mengi pia... Ila akisema tu hilo kabila halifai na hana sababu za msingi siwezi kumuelewa...atanisamehe tu
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Feb 25, 2018 #14 Mr Miller said: Akiniambia sababu za kukataa nikiridhika nazo na nikiona zinaMake sense...sawa, wao wameishi miaka mingi wanajua mengi pia... Ila akisema tu hilo kabila halifai na hana sababu za msingi siwezi kumuelewa...atanisamehe tu Click to expand... Hahaa... haya bhna.
Mr Miller said: Akiniambia sababu za kukataa nikiridhika nazo na nikiona zinaMake sense...sawa, wao wameishi miaka mingi wanajua mengi pia... Ila akisema tu hilo kabila halifai na hana sababu za msingi siwezi kumuelewa...atanisamehe tu Click to expand... Hahaa... haya bhna.
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 Feb 25, 2018 #15 Daby said: Hahaa... haya bhna. Click to expand... Wamama wengine sijui ni wivu wa kimama tu kazoea kukuona mtt wake ss ukimwambia habari za kuoa anahuzunika hahaha
Daby said: Hahaa... haya bhna. Click to expand... Wamama wengine sijui ni wivu wa kimama tu kazoea kukuona mtt wake ss ukimwambia habari za kuoa anahuzunika hahaha
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Feb 25, 2018 #16 Bonny said: Kuna ndugu yangu aliulizwa una kipato kingne nje ya mshahara wako Click to expand... Hili nalo ni swali la msingi
Bonny said: Kuna ndugu yangu aliulizwa una kipato kingne nje ya mshahara wako Click to expand... Hili nalo ni swali la msingi
geesten66 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2017 Posts 2,311 Reaction score 2,889 Feb 25, 2018 #17 Anatabia nzuri Anajishughulisha na mini.