Mbona povu linakutoka ndugu?
Alafu sio lazima kila kitu ukielewe,wakielewa wengine inatosha
sasa kama mlishaachana na ukimuona moyo unadundadunda
hapo maana yake nini???si umrudie basi
It takes a life time kumsahau uliyempenda hata kama hujamuona kuna muda utakumbuka mazuri yake,ukipenda jitahidi kuwa mvumilivu maana ukiachana na mpenzi wako utaumia siku zote za maisha yako
Itabidi niongee nae mkuu,ingiwa ninae mwengine