Ni maigizo tu jameni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Askari wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

 

Attachments

  • 02.JPG
    123.7 KB · Views: 1,078
 

Attachments

  • IMG_0500.JPG
    190.9 KB · Views: 885
 

Attachments

  • IMG_0510.JPG
    141.3 KB · Views: 883
tujuzwe na bajeti naamini hata suti imo ndani ya bajeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…