Akili ndogo inatawala akili kubwa.Serikali haina AKILI.
sikuwahi kuwaza kama hata wabunge wetu na mawaziri hawaijui katiba katiba kiasi hiki maana ni mtu asiyeijua katiba tu ndo anayeweza kutamka ----- huu wa kutunga sheria ya kuzuia maandamano.
Sidhani kama wanaweza kutunga sheria ya kuzuia maandamano bila kuwa specific, labda walete sheria ya kupinga maandamano yanayoandaliwa na Vyama vya upinzani dhidi ya Serikali vinginevyo itakuwa ngumu maana kuna maandamano ya aina kibao kama vile maandamano ya kupongeza jambo, maandamano ya kusheherekea uhuru n.k
Maandamano ni kupotezeana muda tu, na wakati mwingine huleta madhara yasiyo ya lazima.
ki vp huleta madhara, suala la muda halikuhusu ni ratiba ya mtu binafsi sio lazima.Maandamano ni kupotezeana muda tu, na wakati mwingine huleta madhara yasiyo ya lazima.
nani alikuja na hilo wazo?kuna haja kubwa ya kumfahamu huyu mtu.kuzuia maandamano???duuh.TUTAFUTE CV YAKE.
Kama ni Nchimbi au Mtu mwingine ( japo tetesi zinasema ni wazo La Nchimbi mwenyewe ) akamatwe sasa hivi , kuzuia Maandamano ni uchochezi na wala hakuna mwenye uwezo huo , Tutaandamana kupinga muswada huo !