Ni lunch-time wadau

Kwa nini unapakata sahani?....omba stuli ufaidi chakula chako...
 
Hivyo vitu kama ngisi ndio hiyo nyama yenyewe sasa! Salamander hii menyu yooooote ilikugharim kiasi gani mkuu?

Pamoja mkuu. Saivi Nimeona kama utumbo ati. Hii njaa ya saa hizi ntaona kila kitu. Ha ha haaaaa. Ila menu imetulia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…