Kwa wale wasiofahamu MUST ni MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY.Ni hivi karibuni TAASISI imepandishwa hadhi ya kuwa chuo kikuu sasa nauliza kwa Wanaohusika ambao ni serikali ni lini utawala mpya utakuja?

Unataka nani aondoke hapo? Prof. Msamxyxxxxka? Dr. Mt§$%a? au nani??? Sahau hilo. Yaani hiyo timu ndo imetua hapo. Haijawahi tokea chuo kumekuzwa na mtu halafu wanaleta mtu mwingine baada ya kuwa uplifted wakati aliyekuwepo ana fit kwenye hiyo position. If you feel that you are incompartible to them, kindly look for another alternative.
kwa taarifa nilizonazo ambazo sio rasmi Yule principle aliyoko pale must Pr Msambichaka kapewa shavu wizarani sijui ni kazi gani ila yuko mbioni kuondoka mist na sijui mist anapelekwa nani ksb wanaobakia ni kuanzia drs lazima ashushwe prof mwingine may be anaweza akaletwa yule mzee kutoka dit.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.